retweeted
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,339
- 920
Yani tulicho kosea nchi zinazo endelea ni kujiunga nahizi taasisi za haki za binadamu ndo zinazo tutudisha nyuma, Wakoloni wao waliona wamesha endelea wametumia mababu zetu kiasi hawana shida nao wanauwezo wakutumia mashine ili sisi tusitumie watu wetu vizur wakaweka haki za binadamu kama defence ili tusitumie nguvu kazi zetu kufanya kazi.
Mimi leo ningekuwa Rais ningetumia jeshi na wafungwa kufanya kujenga umeme na reli
Mimi leo ningekuwa Rais ningetumia jeshi na wafungwa kufanya kujenga umeme na reli