Naomba kumjua huyu..

Bani Israel

JF-Expert Member
May 27, 2016
1,439
2,367
wakuu bila kupoteza muda naomba kumjua huyu jamaa alieweza kuuchapa mbele ya muheshimiwa rais, kirahisi rahisi hivyo nimependa ukakamavu wake...
IMG-20181211-WA0030-picsay.jpeg
 
Wakuitwa Jaffo waziri wa TAMISEMI majuzi tu kamsifia kuwa ni waziri Mchapakazi wa kupigiwa mfano,, kwaiyo nahisi ni kupitiwa tu maana usingizi hauna "baunsa" na wala siyo kujisahau au kulewa misifa..
hahahaha
 
Watanzania kwa 'kufukunyua' vijimambo hawajambo. Huyo hajalala. Pata picha yule wa miwani naye angekuwa hana, naye tungesema anasinzia?....sema mh anamacho ya kifilipino, akiinama anakuwa kama amelala. Angelivaa miwani tusingelimtilia mashaka.
 
Wakuitwa Jaffo waziri wa TAMISEMI majuzi tu kamsifia kuwa ni waziri Mchapakazi wa kupigiwa mfano,, kwaiyo nahisi ni kupitiwa tu maana usingizi hauna "baunsa" na wala siyo kujisahau au kulewa misifa..

Hakuwa amelala Jaffo ana style ya kukefya ya taratibu sana na hapo alikuwa anaandika point zinazoongelewa.
 
uchonganishi huo.... huyo ndo waziri mchapakazi kuliko wote duniani kwa mujibu wa aliyekaa nae pembeni
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom