Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,985 Reaction score 25,204 Dec 11, 2018 #1 Mama wa kibongo anaweza kukuita ukatoe vyombo alivyolia upeleke kwenye sink, Alafu na yeye anainuka unaongozana nae kwenda kunawa huko kwenye sink. Only kwa wamama wa kibongo Je tabia gani nyingine za kuhuzi zipo kwa wamama wa kibongo?
Mama wa kibongo anaweza kukuita ukatoe vyombo alivyolia upeleke kwenye sink, Alafu na yeye anainuka unaongozana nae kwenda kunawa huko kwenye sink. Only kwa wamama wa kibongo Je tabia gani nyingine za kuhuzi zipo kwa wamama wa kibongo?
M Mchanya JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,062 Reaction score 1,713 Dec 11, 2018 #3 Ni kuudhi si kuuzi
mansolata JF-Expert Member Joined Aug 8, 2016 Posts 502 Reaction score 319 Dec 11, 2018 #4 Kujamba wakati wa kuinuka
Smart Guy JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 6,893 Reaction score 7,050 Dec 11, 2018 #5 mansolata said: Kujamba wakati wa kuinuka Click to expand... Hahahaha
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,389 Reaction score 59,151 Dec 11, 2018 #6 [emoji23][emoji23]