Siku zote watu wenye hatima kubwa zenye utukufu daima,huwa wana pitia changamoto mbali mbali,na misukosuko kwenye maisha yao,
Lakini jambo la muhimu ni vizuri kujua siku zote mpango wa Mungu...
Wadau funguo ya gari aina ya suzuki carry imepotea hivyo naombeni msaada ni maeneo gani naweza kwenda kutengeneza funguo mpya kwa hapa Dar na process zake ..
Carry ni model aidha ya 2001 au 1997...
Wakuu nawaza tu,
Mara kadhaa nikikutana na wadada hawa wenye shape zao... wale wenye mahips na mapaja makubwa mara nyingi wamekaa kimalayamalaya sana. Akitembea kama vile anajilambaza aliwe tu...
Kwenu,
Kwa muda sasa najihusisha na michezo ya kubahatisha, hasa BIKO naTATUMZUKA. Kwa kiasi fulani napata.
Ukibahatika kupata Sh.100,000 wanakata juu kwa juu Sh.18,000 na unapokea Sh. 82,000...
Kauli iliyo tolewa na generally na akasisitiza kuwa hii ni operation kama zingine hivyo walale kwenye mahema
Na watumie mishahara yao.
Vijana wa jkt wameondolewa kwenye magadauni yote .
Chanzo ni...
Habari za wakati wakuu wa JF
Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria muda mrefu. Je CEO's, Directors na Viongozi wengine wa makampuni hapa Tanzania ambao pia ni wamiliki wa hayo makapuni, je ni...
Kutokana na kasi ya ukuaji wa technolojia itachukua miaka michache sana shughuli nyingi za Benki zitakuwa zinafanyika kupitia technoljia. Sasa hivi wateja wengi wamepungua kungia benki kwa sababu...
Mapema asubuhi, mnamo 30 Oktoba 1961, ndege ya kuangusha mabomu ya Muungano wa Usovieti aina ya Tu-95 ilipaa kutoka uwanja wa kambi ya ndege za kivita ya Olenya katika rasi ya Kola kaskazini mwa...
Mwigoro na ndugu yako wa wizara ya maji malumbano ya nini?
Mbona kama sehemu ya kupatia kipato tiari mnayo?
Mnalumbana kisa jimbo tu?
By mwigolo voice: kuna watu wanapita pita kwa wananchi...
BENKI Kuu (BoT) imesema kuna benki 55 zimeonekana kutojitanua katika mikoa mingi nchini na inaendelea kuzifuatilia ili kuzichukulia hatua
-----
Gavana BoT, Prof. Florens Luoga amebainisha hiyo...
Hawa jamaa sasa wanavuka mipaka.
Hamna mandate kisheria ya kuandaa shindano la wateule wa Rais.
Endeleeni kuhabarisha na kuburudisha watanzania.
Kwani hapo kwenu wengine sio watangazaji kwa kua...
Nimekaa na kujiuliza swali hapo juu, maana kila kukicha ukienda kwa hospital hasa vitengo vya tiba ya meno unakutana na kundi la binadamu wakiwa katika kupata huduma ya meno.
Lakini kwa hawa...
Nadhani wote tumeona madhara makubwa yaliyoletwa na Warusi kupitia Facebook katika uchaguzi wa Marekani na matatizo makubwa yanayoikumba hiyo kampuni kwa sababu hiyo.
Lakini hapa kwetu...
Ndugu zangu, naomba kila mmoja ajitahidi kuelezea dhana ya watu wa kundi fulani dogo kuitwa WAHESHIMIWA.
Lengo ni kujua vigezo vinavyomfanya Mtu aitwe MHESHIMIWA.
Ahsante. Nawasilisha. Karibuni...
Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na hapo wanapenda kutoa ajira kwa...
Mkazi wa kijiji Kalagenda wilayani Ngara mkoani Kagera Robert Jacob ambaye ni mkulima amepoteza maisha baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua kubwa yenye upepo mkali wakati akiwa pembezoni...
Kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajibiwa Swali langu na nitaridhika basi ni hii ya leo hasa kutokana na kwamba hili jambo limekuwa ' likinisumbua ' sana kwa muda mrefu baada ya Kujiridhisha...
Ndugu zangu Wasabato na mtu yeyote asie Msabato- ila anaamini kama waaminivyo Wasabato kuwa ufalme wa mwisho utakaokuwa unatawala kabla ya Utawala wa Milele (Usio na Mwisho) wa Bwana wetu Yesu...
Labda ni Tanzania pekee ambako kila siku askari wanasimamisha gari ili watafute kosa kuhusu wewe dereva au gari. Ni kwamba askari anapoamua kusimamisha gari, dereva unakuwa huna kosa aliloona...