Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tangu juzi kumekuwa na barua zikiwekwa kwenye mitandao yote ya kijamiii na kutaka kuwaaminisha watu kuwa ni barua za sasa yaani zimetolewa mwka huu (2018) kutoka baadhi ya taasisi na nyingine...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wazima humu wapendwa, Samahan, naomba kuelekezwa jinsi ya kufika NACTE ukitokea mbagala, naomba kuelekezwa nipande magari ya wapi hatua kwa hatua ili nifike maana ni mgeni kabisa Dar es salaam...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema katika kipindi cha mwaka mmoja imeokoa Sh70.3bilioni zilizokuwa ziingie mifukoni mwa wala rushwa. Kati ya kiasi hicho, Sh45bilioni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mheshimiwa pole sana Kwa kutupwa jela. Hali halisi ya jela umejionea mwenyewe. Jela ni mbaya, jela ni mateso! Huku kwetu waafrika tunasema kwenda jela ni mkosi! Na ili usiingie tena jela kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenye info zaidi atujuze.
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari ya juma mosi wakuu..!! Kama nilivyo anza na kugusia hapo kwenye utangulizi, kidogo kuna mambo yananitatiza sana kwa muda kidogo ingawa nimejaribu kutafakari na kusoma vitabu kadhaa ili...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kitambulisho cha Vladimir Putin (MBABE WA VITA) akiwa jasusi wa KGB chapatikana Ujerumani Idara ya ujasusi ya Ujerumani Mashariki ilifahamika kama Stasi, lakini kwa kirefu ni Ministerium...
4 Reactions
42 Replies
9K Views
Nimefanya kazi katika kampuni hii kwa miaka minne kama afisa manunuzi. Kutokana na ugumu wa soko, ikabidi team ya "sales" iongezewe nguvu na ndipo watu kutoka vitengo vingine ikabidi tuhamishiwe...
21 Reactions
46 Replies
6K Views
Kutokana na maendeleo ya sayansi ya teknologia Tanzania,Dini zimeanza kutumia internet sawia na mashirika ya kibiashara kujitangaza. Hivi viashiria vimepelea watu kusema kwamba " dini zimekuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MCHUNGAJI Ambilikile Masapila (78) ameibuka na kudai Mungu amemuonyesha unyayo wa mtu wa 182 tangu kuumbwa kwa Adamu. Masapila amekuwa maarufu kwa kutoa huduma ya dawa kwenye kikombe...
0 Reactions
147 Replies
65K Views
Jeshi la Polisi mkoani Manyara, linamshikilia Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa Monduli mkoani Arusha kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya mirungi kilo 20. Akithibitisha...
3 Reactions
24 Replies
7K Views
Salamu wakuu,niende moja kwa moja kwenye mada. Katika mapambano ya kujiajiri,kuna nyakati zinakuwa ngumu mnoo. Unaweza wekeza let say 20 mil, lakini mwisho wa siku unajikuta unaokoa 3 milion. Na...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Mie ni mteja ninayetumia zaidi ya mtandao mmoja wa simu, na huwa kila tangazo la mtandao la wowote linapotoka kwenye vyombo vya habari huwa nalifanyia kazi kama nahisi lina tija kwangu. Siku za...
3 Reactions
42 Replies
12K Views
Babu yangu alizaliwa mwaka 1924. Alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto 5. Lakini alikuwa na ndugu wengine wengi kwa upande wa baba yake. Baba alikuwa tajiri sana kwa wakati huo. Alikuwa ana...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa muda wa miaka 5 mitano kuwa hapa jukwaani,nimejifunza mengi na kuongeza maarifa kwa kusoma mada mbalimabli katika majukwaa mbalimabli,wanamember wote waanzilishi wa mada mbalimbali wamekuwa...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Mazee vijana wenzangu ambao bado tupo tupo makazini vijana wakileo ase kwa hii ya wastaafu inayokuta waswahiri husema ukiona mwenzako ananyolewa zako...... Vijana ile tabia ya kuanza tu kazi na...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Ni +68630121842 huwa inanibeep kila siku.Ni ya wapi? Nimeuliza ktk mtandao naotumia hawana majibu sahihi. Asante
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Wakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora. Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa...
21 Reactions
260 Replies
40K Views
Sometime inachekesha[emoji23][emoji23][emoji23] mnaweza sema kwa sababu wamesoma shule za gharama Ooh wazazi wao wana pesa wawalilie na chuo But turud katika ukweli “ hawa ni watu wenye uwezo...
11 Reactions
82 Replies
8K Views
Niko maeneo napata moja moto moja baridi nikiangalia watu wakijimwaga na ngoma ya mdogo mdogo. pia navuta hisia za miaka 18 iliyopita nilipokuwa nakaa bagamoyo na kuhudhuria sherehe za harusi...
2 Reactions
55 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…