Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 380
- 534
Mheshimiwa pole sana Kwa kutupwa jela. Hali halisi ya jela umejionea mwenyewe. Jela ni mbaya, jela ni mateso! Huku kwetu waafrika tunasema kwenda jela ni mkosi!
Na ili usiingie tena jela kwa imani ya baadhi ya waafrika huoga maji yenye Dawa na kulala nje siku saba siku mtu anapotoka jela ili kuondoa mkosi huo.
Lakini mimi naona mheshimiwa unaweza kupambana bila kupata misukosuko ya aina hiyo. Bado nakupongeza Kwa siasa zako za ustaarabu. Watanzania wanataka amani Na Maendeleo.
Nawasilisha.