Nimejaribu kuangalia mitoko ya watu wakubwa,matajiri,mastaa wa michezo ata viongoz wa kisiasa uku duniani naona hawajazipokea kwa mikono miwili saa za smartwatch je ni woga wa kiteknolojia...
Kikosi cha mastaa zaidi ya 10 kutoka Kabila la Wangoni kinatarajiwa kuonekana jukwaani siku ya Wakunyumba Traditional Party, wote wakiwa masupa staa wa sanaa mbalimbali.
Kwa mujibu wa muandaaji...
Tukiwa tunasubiri uchunguzi wa police
Nimeshtuka kauli ya David Jumbe kuwa alisikia lafudhi ya aliyekuwa akiongoza genge la waliomteka alikuwa Mzanzibari
Na alisisitiza kuwa Jumbe asipelekwe...
Hapa tuseme KIMEUMANA, Polisi kazi wanayo!!
Habari zenu wanajukwaa!
Hii habari ya morani wa kimasai kumuua bosi wao ambaye ni "MUWEKEZAJI" toka nchini China imenifikirisha sana...
Habari ya hasubuhi.
Sio kwa nia mbaya ni vile watanzania wengi hatujui sheria na katiba kwa hyo ningependa kufahamu hasa majibu kutoka kwa huyu mwandishi wa habari na wakili wa kujitegemea.
Kuna...
Wakuu ! Salam haisaidii zaidi ya mikakat na ushaur wenu. Nkmekuwa naishi kama ngedere au "guruguja" yani kila zahma balaa tupu. Nimegubikwa na mikopo nadaiwa mpaka na songesha na mshahara kwa...
My Take
Naunga mkono hoja ya mdau aliyetolea mfano wa Ghana kuwakilisha Afrika.
Wabeba Maboksi walioko Ulaya na USA zaidi ya kutumika Kisiasa sidhani kama Wana jipya.
Watu wajifunze Kwa...
Taifa letu limeingia katika kiza kizito ambacho hatukuwahi kufikiria ,wakati tunaomboleza vifo vya wenzetu 500+ walipoteza Maisha wakati wa uchaguzi bado mioyo ya watu wengi haina faraja na...
👉Wahubili wengi wanashindwa kueleza kwa uhakika kwanini watu waovu wengine wanaishi maisha mazuri huku waadilifu wakiteseka kila siku.
👉Swali la kwanini maombi ya baadhi ya waumini...
👉Mshukiwa mmoja mwenye silaha ameangushwa kwa risasi baada ya kuanzisha mashambulizi ya ghafla dhidi ya checkpoint ya Secret Service nje ya White House, tukio lililosababisha mfumo mzima wa ulinzi...
Ifike mahali viongozi waseme kitu maana kila siku tunaona vijana wanalalamika hawajalipwa pesa.
Leo hamshauri hii, kesho huku. Inaonekana ni halmashauri nyingi hawajalipwa. Wengine wanadai toka...
“Logic is a practical science of correct thinking.”
Hii si sentensi ya darasani tu. Ni msingi wa ustaarabu wa mwanadamu. Ni tofauti kati ya jamii inayotafuta ukweli na jamii inayotafuta...
Sikuwahi Kufikiria Kama hata sisi wanaume tupo wenye tabia za ajabu kiasi hiki, itoshe kusema imetuumiza sana.
Iko hivi, sisi tuko washikaji wa nne na wote tumeoa ila tulikuwa hatuja Jenga, wote...
Kwa waliowahi kutembelea Vikindu Ecologial garden watakuwa wamewahi kukutana na ujinga fulani wa wafanyakazi wa pale. Unapokuwa mkimya basi wao wanadhani wamekupata kwelikweli na hudhani wanajua...
By experience nmefanya kazi migodini kwa zaidi ya miaka 15, sio Barrick wala AngloGoldAshanti kote huko mimi ni uwanja wa nyumbani.
Ila leo nimekaa nikafikiria hivi kweli wanaoingiaga hii...
Hapa ni Pongwe Mkoa wa Tanga, Mkandarasi kamwaga kifusi kina tope ambacho kimekuwa ni kero kubwa kwa wananchi kipindi hiki cha mvua ni takribani miezi mitatu sasa, hakuna dalili zozote za...
Na DR. ZACK ✍️
Katika dunia ya leo, ushindani wa mataifa haupimwi tena kwa ukubwa wa jeshi au wingi wa rasilimali pekee. Mataifa sasa yanashindana kwa ushawishi wa kimataifa, uwezo wa kuvutia...
Ni nadra sana katika sehemu nyingi zenye Zebra crossings ambazo hakuna traffic police karibu kukuta madereva wa magari, Bajaji au Bodaboda wakiheshimu na kuruhusu watembea kwa miguu kuvuka.
Ni...
Habari
Aisee hili suala ni zito sana, unakuta ofisi nzima anaejua kutumia computer ni mmoja tu
Walimu ndo takataka kabsa kati walimu 10 ni mmoja ndo anajua kutumia computer au unaweza kuta wote...