Habari za Leo wadau,
Nikielekea moja kwa moja kwenye hoja, tunashuhudia wanachama mbali mbali wa JF wakileta mabandiko yao humu ya kutafuta kazi na wengine kuomba misaada ya mambo mbali mbali. Si...
“Wakati akina Zitto wakihaha kuungana na EU kusapoti ushoga, Takukuru ya Uingereza sasa yamuunga mkono JPM katika masuala ya msingi; yaungana naye katika vita ya rushwa na vita ya kuhakikisha...
Kwenye hadithi za kale kuna Mfalme mmoja aliwatangazia Watu wake kuwa siku fulani ataandaa Tafrija kubwa kwenye kasri lake ila Asiyempenda asikanyage.
Kweli siku hiyo ikafika akajikuta yeye na...
Kwenye biblia kuna makatazo na maonyo mengi sana. Lakini hili ni katazo gumu sana kwa watu wengi. Katazo hilo kwenye kitabu cha Mathayo 5
"27 Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;
28 lakini mimi...
Live hapa Tbc uzinduzi Channel mpya Ya utalii
Mkuu wa mkoa ameonyesha kukerwa na île tabia inayoendelea kwa kasi hapa Dar ya Marufuku kupiga picha, kweli kuna maeneo nyeti mfano Ikulu, Kambi za...
Mishipa ya damu imekatika na hivyo kushindwa kabisa kutembea.Amepata huduma hiyo KCMC na ameambiwa huduma hiyo inapatikana nchini India hivyo anaomba msaada wa hali na mali kuweza kupata tiba ya...
Ndugu zangu hili ni moja kati ya maswali mazuri sana ya falsafa na theolojia
Wewe unaonaje?Je ana weza?
Msingi wa Hoja ni kwamba Mungu Anaweza yote?Hakuna Limshindalo...
Wadau habarini za weekend.........
Kuna issue hapa inanidatiza, sijui inamaana gan na mwanzilishi wake ni nan?
Mfano, watu wamekuwa wakitumia herufi "k" kuashiria kiwango cha fedha......
Mfano...
Mzuqa
Nikikumbuka tu watanzania walivyoteswa msumbiji na kufuzwa kwa kupigw na kuomba msaada wasaidiwe badala yake Jiwe ndio kwanza kuwatukana na kusema wapigwe zaidi.
Nikikumbuka hela za...
Mala nyingi siku za sikukuu,huwa ni siku ambazo ukienda kwenye nyumba nyingi za wageni utaambiwa nafasi zimejaa,
Hii ni kwa sababu watu wengi,hupenda kwenda kupumzika mbali na makazi yao,ya siku...
Wananchi wa mkoa wa Shinyanga wilaya ya Kahama wameonyesha mwitikio mkubwa katika zoezi la uasjili wa vitambulisho vya taifa ambalo linafanyika nchini kote na kwa mkoa wa Shinyanga wilaya zote...
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga, amesema wako mbioni kuanza ukaguzi wa wafanyakazi wa benki zote nchini.
Amesema lengo la hatua hiyo ni kupata wafanyakazi wakiwamo...
UNAMALIZAJE MWAKA
Muhubiri 7:8 Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake,Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi.
Tunamshukuru Mungu ametupa Neema ya kuiingia mwezi December... Mwezi wa...
Muonekano wa hii channel ninayoangalia hapa laivu nimeshangaa kuona ina chata ya TBC1 iko vizuri, siku ya kusaini ST. Gorge ilikuwa kichefuchefu sana, naona hata suti ya Sam Mahela inaonekana...
Kuna baadhi ya maneno viongozi wa dini na watu wengi huyasema tunapokuwa misibani,Mimi naona maneno hayo sio sawa kabisa.maneno yenyewe Ni Kama "sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi","bwana...
Mw/kiti .Ungewaacha huru hawa wapinzani.....kwa ugumu huu wa maisha....Wallah....chama kingekufia....mshukuru aliekupa wazo....
Mtu akikosa soko la vitunguu anakutaja ww eti ndo chanzo...
Sikuizi...
Tukisema kwamba Waafrika huwa tunapenda ' Kukurupuka ' pasipo Kujipanga katika mambo yetu kama walivyo Wazungu mnaanza Kumkasirikia na Kumnunia GENTAMYCINE wakati kumbe Kiuhalisia ndiyo ukweli...