Muonekano mpya wa TBC uko poa

wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,647
2,937
Muonekano wa hii channel ninayoangalia hapa laivu nimeshangaa kuona ina chata ya TBC1 iko vizuri, siku ya kusaini ST. Gorge ilikuwa kichefuchefu sana, naona hata suti ya Sam Mahela inaonekana vizuri kabisa. Ingawa bado mwanzo mzuri.Hongera sana TBC1 Ngoja tuangalie kabumbu itaonekana vipi
 
Muonekano wa hii channel ninayangalia hapa laivu nimeshangaa kuona ina chata ya TBC1 iko vizuri, siku ya kusaini ST. Gorge ilikuwa kichefuchefu sana, naona hata suti ya Sam Mahela inaonekana vizuri kabisa. Ingawa bado mwanzo mzuri.Hongera sana TBC1 Ngoja tuangalie kabumbu itaobekana vipi

Sam Mahela anasema "Waziri mkuu atarejea hapa hivi punde" hivi PM alikuwa hapo?
 
Muonekano wa hii channel ninayoangalia hapa laivu nimeshangaa kuona ina chata ya TBC1 iko vizuri, siku ya kusaini ST. Gorge ilikuwa kichefuchefu sana, naona hata suti ya Sam Mahela inaonekana vizuri kabisa. Ingawa bado mwanzo mzuri.Hongera sana TBC1 Ngoja tuangalie kabumbu itaonekana vipi
Ndio channel ya wapi? inaonyesha content gan?
 
Muonekano wa hii channel ninayoangalia hapa laivu nimeshangaa kuona ina chata ya TBC1 iko vizuri, siku ya kusaini ST. Gorge ilikuwa kichefuchefu sana, naona hata suti ya Sam Mahela inaonekana vizuri kabisa. Ingawa bado mwanzo mzuri.Hongera sana TBC1 Ngoja tuangalie kabumbu itaonekana vipi
Mkuu sauti inaonekana?
 
Wameweka camera full hd.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom