GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,379
- 108,432
Tukisema kwamba Waafrika huwa tunapenda ' Kukurupuka ' pasipo Kujipanga katika mambo yetu kama walivyo Wazungu mnaanza Kumkasirikia na Kumnunia GENTAMYCINE wakati kumbe Kiuhalisia ndiyo ukweli mtupu japo unauma.
Haingii akilini kabisa yaani Siku muhimu ya ' Uzinduzi ' tayari kuna matatizo ya Kimsingi ambayo yanayoonyesha kutokuwa na ' Uweledi ' wowote yanaanza Kujitokeza. Hata hivyo huenda kilichotokea katika ' Uzinduzi ' wa Tanzania Safari Chaneli kwa ' Kukatikakatika ' Kwake pia ni sehemu moja wapo ya ' Utalii ' bora na wa Kisasa ambao utaweza kutuongezea Watalii wengi na ' Watazamaji ' wake.
Sijui ni kwanini katika Hafla / Shughuli zozote za Wazungu huwezi kukutana na ' Mauzauza ' kama haya ambayo utayakuta mengi sana katika nchi nyingi za Kiafrika na sana sana hapa Tanzania na bado tu hatujifunzi. Mara Mitambo izime, mara tusikie Sauti lakini lakini Nyago / Sura ya Mtangazaji haionekani, mara tunaona Sura ya Mtu bila Picha.
Na mkiendelea ' Kuzubaa zubaa ' hivi na kutokuwa makini hasa katika hii Chaneli yenu mpya ya Utalii na hivi ndiyo mtaanza kufanya ' coverage ' zenu kwa Wanyama kuna uwezekano mkubwa Watangazaji wenu wengi ama wakiliwa sana na Simba au wakawaachia Fisi ' makalio ' yao na wakarudi zao hapo Studioni Mikocheni kuponya kama siyo kuuguza ' Majeraha ' yao yaliyotukuka.
Shauri yenu!
Nawasilisha.