Naleta hoja hii nikiwa na maumivu Makali sana moyoni.
Watumishi wa wizara ya afya serikali kuu hawafanyiwi sawa kabisa. Upo uonevu wa hali ya juu sana. Nayasema haya kwa kuzingatia hoja zifuatazo...
Sasa ni takribani mwezi na nusu, maeneo ya sinza madukani kama unaelekea iteba bomba limepasuka maji yanatoka tu na kupelekea kuharibu miundombinu ya barabara.
Mafundi walifika wakachimba na...
Dar es Salaam. Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Dk Owdenburg Mdegela amepewa onyo na mkuu wa kanisa hilo nchini, Dk Frederick Shoo kuacha...
Hii natoa maoni yangu tu kwa BASATA
Chukueni makosa ya wasanii kama fursa ya kupata kipato kwa ajili ya baraza lenu, achaneni na mambo ya kufungia wasanii.
Msanii akikosea mara ya kwanza piga...
Pascal Mayalla Makofi tafadhali
Mtakaosema nsjitongozesha ni poa tu kwasababu ni haki yangu pia
Mshana Jr worth mention
@mzeemwanakijiji sijui kimemsibu nini kwasasa kuna mijadala mizito kuzidi...
Bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limeibua mjadala mkali kwa nchi wanachama ambazo zimekuwa zikisuasua kutoa Michango yao kwa wakati na kusababisha baadhi ya shughuli za maendeleo katika...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Salum Hapi ameonesha kushangazwa na madai ya kujikuta amelala kwenye makaburi mkoani Iringa, kitendo ambacho kinahusishwa na imani za kishirikina.
Kupitia mtandao...
Moderators naomba msiunganishe uzi huu kwa kuwa una faida kwa watu wote kujua taratibu za usafiri wa ndege, ambao ATCL kwa makusudi imeamua kupotosha umma katika kile kinaitwa "damage control"...
Jeshi la Wananchi(JWTZ) limesema lipo tayari kutumia meli yake yenye uwezo wa kubeba tani 500 kusafirisha zao hilo kwenda jijini Dar baada ya maghala mkoani Mtwara kujaa
Hayo yamesemwa na Mkuu wa...
Utaratibu huu ungekuweko siku zote wa kuruhusu vyama vya upinzani kwenye shughuli za serikali kama uzinduzi wa miradi ya maendeleo basi Tanzania na serikali ya awamu ya tano ingekuwa imepiga hatua...
Disney ni kampuni ya kimarekani inajihusisha na mambo ya movie. wamesajili neno hilo (HAKUNA MATATA Trademark of Walt Disney Company, The - Registration Number 2700605 - Serial Number 74558335 ...
Habari wana Jamvi..!
Leo nimeamka na hili wazo binafsi, Kwa pamoja naomba Member wa Jamii Forums tutembelee mradi wetu wa Standard Gauge tukajionee maendeleo yake sehemu zote mpaka Kilosa ambapo...
Habari wana Jamvi..!
Leo nimeamka na hili wazo binafsi, Kwa pamoja naomba Member wa Jamii Forums tutembelee mradi wetu wa Standard Gauge tukajionee maendeleo yake sehemu zote mpaka Kilosa ambapo...
Wanasema kila mwaka na mvua zake, ndiyo, nikweli kabisa.
Wafuatao hawata usahau mwaka 2018 kwa namna ulivyo wanufaisha na kuwaibua machoni na masikioni mwa watu bila kujali Vibua mijadala yao...
Kuna habari imetawala televisheni za nje kwamba mlima oldonyo Lengai una dalili ya volcano eruption hivi karibuni!
Naona Vyombo vyetu vya habari havina habari hio
======
Tanzania's Ol Doinyo...
Wakuu nimetafakari kwa kina, nimegundua nchi ya Tanzania ina watu wachache sana. Sasa hivi tuko watu takriban milioni 57 hivi. Ukubwa wa eneo la nchi yetu ni km za mraba 945,000 hivi. Eneo hili...
Hivi kwa mfano niki-upload video yangu kwenye youtube, halafu baadaye nikaitoa, na wakati kabla sijaitoa tuseme kuna watu walipata nafasi ya kuwa wamei-download. Je hawa watu walioi-download video...