Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

[http://img2] IDARA ya Usafiri na Leseni, imesema tayari imekamilisha zoezi la upatikanaji wa vitambulisho vitavyotoa unafuu wa usafiri wa abiria kwa ajili ya wazee wasiopungua umri wa miaka 60...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nimekaa leo nimejiuliza sana hili swali, hivi mwanaume anasababu gani za msingi za kumfanya afunge kizazi?! Kwa mwanamke inaeleweka sababu hasa ni za kiafya, kwa mwanaume je?!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nakumbuka miaka ya nyuma Krismasi ilingojewa kwa hamu na ghamu! Sikukuu hiyo ilikuwa ni Tukio kubwa na la aina yake katika jamii yote. Yafuatayo ilikuwa ni lazima yafanyike kabla ya Sikukuu hiyo...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
BEFORE YOU SLEEP: CRITICS: 1. Always live your life above the negative words of CRITICS. Don’t choke on someone else’s ‘beef’. 2. All CRITICS do is remind you of how relevant you are. 3...
0 Reactions
8 Replies
995 Views
Wakuu , kwanza kabisa natanguliza salamu zilizojaa bashasha za mafanikio , baada ya salamu hizi nisiwachoshe na maneno mengi naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja yangu . Nachukua nafasi hii...
22 Reactions
83 Replies
6K Views
Yesu kristo atarudi kwa Mara ya pili siku ya chrismass usiku wa manane, hakika huu ndiyo ukweli. Wana jf je, ikitokea hivyo unahisi binadamu wangapi wataiona mbingu siku hiyo?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tu bienvenida en navidad -Spanish. Votre bienvenve à noël -French. Suas boas vindas no natal - Portuguese. Je weikom op kerstmis - Dutch. Kurisumasu ni anata o kangei - Japanese...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kila ninapojaribu kuwasikiliza watu wanaochangia hoja kuhusiana na tarehe halisi ya kuzaliwa Yesu Kristo, wengi humtaja Mfalme Constantine wa Rumi kwamba ndiye aliyeianzisha siku hiyo, kwa...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Prof. Mkilaha wa Engineering UDSM (Director General, Atomic Energy in Arusha and Chairman of SUMATRA Board of Directors) amejipiga risasi kwa bahati mbaya wakati akisafisha pistol yake akiwa...
3 Reactions
243 Replies
46K Views
Unapokuja tabata kufanya starehe ,kuwa makini sana na hawa ma baunsa,,inapotokea wamekusoma kuwa una mtonyo wakutosha pamoja na vitu vya thamani kama saa,cheni ,pete,,wanatuma watu...
4 Reactions
28 Replies
6K Views
Askofu wa kkkt dayosisi ya mashariki na pwani Dr Alex malasusa amesikitishwa na jinsi waumini wa kikristo wanavyopeana talaka..ameyasema hayo Leo 25/12/2018 katika misa ya kusherehekea maazimisho...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hizi ni baadhi ya michezo ya kamari inayoendelea nchini ni kuteketeza mabilioni ya pesa toka mifukoni mwa Watanzania:- BIKO, TATU MZUKA, MOJA SPESHO, SUPER TANO, VODACOM, MERIDIAN BETS, SOKA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kijana mmoja ajulikanaye kwa jina la Mustafa huko wilayan Kondoa amelazwa katika hospitali ya wilaya baada ya kukutana na VIBAKA ambao walipomsimamisha walimpora vitu na kunywesha kinachosadikiwa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amegonga mwamba mahakamani. Kwa mujibu wa Mbarala...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Wadau wa JamiiForum naomba msaada kwa ambaye anajua maana ya Western union kwa Undani zaidi na namna inavyotumika nchini na nje ya nchi kwenye maswala ya kutuma na kupokea fedha kwenye...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Hapa wanatumia maji au Co2
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wazee wa mujini wacheza dili,dili za maana,zile haramu kwa siro ni kitonga Kwa wale wanaojifunza magari leo unaweza ukafahamu kusukuma bila wasiwasi Nimepewa lift uku florida mitaa ya tegeta...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ANGALIZO:INAWAHUSU WANAOJUA ELIMU NA SIRI ZA SOLOMONI NA ZINAZOENDANA NA HIZO Kila siku naamini katika maandishi kuna siri kubwa sana zinakuwa zimefichika Lakini hii wiki nimeshangaa sana baada ya...
2 Reactions
54 Replies
10K Views
Asallaam wanaJF. Sina bank account. Ila nawish sana kufanya online purchase kwa kutumia PayPal ili ku-secure payment. Je, is it possible to top-up a PayPal account with mobile money? mfano...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini za muda huu wana jukwaa,nianze kwa kuwatakia kheri ya sikukuu ya x-mass. Ningependa kujua zaidi kuhusu nchi ya hungary,maisha yao,miji mizuri kuishi,chakula,culture,nk nk Karibuni sana...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…