Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimepata meseji kutoka airtel inasema ofa ya krismasi nikifikiri wamenitumia bando ya bure ya intaneti au muda wa maongezi wa bure kumbe hakuna cha ofa ila Mauzo ya kawaida. Kwa wateja tunaonunua...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Padre Beatus Christian Urassa wa Shirika la ALCP/OSS Ateuliwa na Baba Mtakatifu kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga, kuchukua nafasi ya Mhashamu Damian Kyaruzi ambaye Anastaafu kwa mujibu wa...
12 Reactions
168 Replies
38K Views
Mchungaji wangu Lusekelo umeongea jambo la msingi sana juu ya uchapakazi wa Rc makonda anastahili pongezi sana kwa uchapakazi wake mzuri pamoja yakuwa hana chet halali chakusikitisha kwa upendeleo...
0 Reactions
2 Replies
867 Views
NSIMBO: Watu watano wamejeruhiwa kwa risasi katika kijiji cha kashelami halmashauri ya wilaya ya nsimbo mkoani katavi Tukio hilo limetokea jana majira ya saa tano asubuhi baada ya watu wanaodaiwa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Nimeota nimezamia kwenye ziara ya mfalme wa kijiji chetu chenye takribani watu mil 50 (ikumbukwe tu mimi si mfuasi wake hata kidogo ) sasa baada ya makofi na vigeregere kutoka upande ule unaomsifu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF Kimsingi nilipata shida sana kuamka maana hang over niliyokua nayo siyo ya taifa hili, baada ya kutoka church nilienda kwenye mgahawa nikala pilau kuku saafi kabisa nikashushia na...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Tatizo siyo kuahirisha safari bali idadi ya HAO watumishi wa umma walioahirisha safari....... 100 ni wengi sana. Najiuliza tu sababu ni nini hasa?!!!
5 Reactions
164 Replies
17K Views
Majaji na mawakiri karibuni
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi Teknolojia imekua kiasi kwamba mtu anaweza kuacha akili nyumbani akasafiri na mwili tu? Nikiona watu wengi walivyo Sasa hata ninao wafahamu Kuna walakini au Kuna jinsi mtu anatunza akili...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Tamisemi, Mwita Waitara ameitaka Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (Dart) kufanya tathmini ya kujua ni hasara kiasi gani Serikali inapata kutokana na mfumo wa utoaji wa...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba kufahamu tofauti kati ya Taifa na Nchi. Mfano nasikia kuwa Tanzania ni Taifa na Kenya ama Rwanda ama Uganda au Burundi ni nchi, nn haswa tofauti hapo?
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Moja ya vituko nimeviona sana baa ni; 1.wanaokuja kutafuta meza yao peke yao 2.wanaokuja na mademu kutafuta meza zilizojificha gizani 3.waliokaa meza moja alafu hawaongei (wote wapo busy na...
6 Reactions
51 Replies
10K Views
Inabidi tuseme mh. Rais alikataa tozo ambazo ni kero kwa mwananchi hasa hasa wahangaikaji. Halmashauri ya Nyanghwale kupitia madiwani wake waliazimia kuwatoza wachimbaji wadogo Ifugandi kiasi cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapendwa katika bwana, naamini muwazima wa Afya ,naombeni msaada wa kupata Til ya wakala wa mtandao wowote. bila kuwa na jina langu ila iwe na jina la biashara Mfano:(Nyangwe mobile Money)...
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii (SSRA), inaendelea kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa wadau na wananchi kwa ujumla ambayo yatasaidia kuboresha kanuni na miongozo itakayoendelea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa upendeleo ambao Mwenyezi Mungu amenionyesha ndani ya mwaka huu wa 2018 na ambao anaendelea kunionyesha nashawishika kusema kwamba " God is not my father " .He is my Daddy. Karibu kila MTU...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamii ya watu wa Siddi ni watu wenye kupatikana India katika mji wa Gujurat na karnataka Siddi community ni jamii iliyo nyuma sio kimaendeleo tu hata kielemu na kutambuliwa kama jamii ya India ni...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Binafsi msemo usemao mwalimu ni daraja naona hauna mantiki kama hatujaangalia na nyanja zote. Msemo huu huwenda umeanzishwa na wanasiasa ili waweze kuliteka hili kundi kubwa, au umeanzishwa na...
1 Reactions
5 Replies
973 Views
Mheshimiwa tank akirudi bongo vyombo vyote vikubwa vya habari duniani CNN BBC sky news Bloomberg aljahezeera nk vitakuwa vinaimulika tz mpk siku ya uchaguzi wa 2020 karibu lisu karibu tena nyumbani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…