Padre Beatus Christian Urassa wa Shirika la ALCP/OSS Ateuliwa na Baba Mtakatifu kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Padre Beatus Christian Urassa wa Shirika la ALCP/OSS Ateuliwa na Baba Mtakatifu kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga, kuchukua nafasi ya Mhashamu Damian Kyaruzi ambaye Anastaafu kwa mujibu wa taratibu za Kanisa.

padri.jpg
 
Kila la kheri baba askofu mteule Urassa.

Uaskofu ni vigezo na kamati iliona baba huyu anavyo vigezo vingi kuliko wengine.

Haya ya kuhoji hoji ukabila yapelekwe kwa ibilisi, kazi ya Mungu haichagui kabila ila huangalia moyo wa utayari.

Hii nguzo ya centrallized system toka Roma ndiyo imelipa kanisa la wenzetu wakatoliki uimara kwa karne nyingi na kuepusha migogoro. Imelifanya kanisa kuwa tajiri wa kiroho na mali regardless of lot of heavy challenges wakati wengine wakichinjana kugombea vyeo. Hongereni wakatoliki, hongereni Sumbawanga, hongera kwa kanisa la Mungu!
 
oDu! mbona kasi ya wachaga kuwa maaskofu inakuwa kwa kasiii!!

Rogathe Kimario = Jimbo la Same Shirika Holy Ghost Fathers
Thedeus Rwaichi = Jimbo kuu la Mwanza Shirika la Capuchins
Kinyaiya = Dodoma Shirika la Capuchins
Massawe = Arusha
Urassa = Sumbawanga. Shirika la OSS/ALCP

Ongezea na wewe unawajua. Povu ruksa
Shio = Zanzibar Shirika la Holy Ghost Fathers
Minde = Kahama Shirika la OSS/ALCP
Mlola =Kigoma Shirika la la OSS/ALCP
Kati ya hao Maaskofu 8 wote sio wa jimbo la Moshi ila ni wachaga. Ni mapadre wa mashirika. Hiyo maana yake mapadre wengi wa majimbo hawana sifa hasa za kimaadili. Maana sifa za jumla ni 1. Upadre walau wa miaka mitano 2. Elimu walau Shahada ya Pili
 
oDu! mbona kasi ya wachaga kuwa maaskofu inakuwa kwa kasiii!!

Rogathe Kimario = Jimbo la Same
Thedeus Rwaichi = Jimbo kuu la Mwanza
Kinyaiya = Dodoma
Massawe = Arusha
Urassa = Sumbawanga.

Ongezea na wewe unawajua. Povu ruksa

Maaskofu wahehe
1. Tarcisius Ngalalekumtwa-Iringa
2. Paschal Kikoti-Mpanda---Deceased
3. Damian Dallu-Songea
4. Evaristo Chengula-Mbeya
5. Norbert Mtega-Songea--Retired
6. Askofu Maluma-Njombe
7. Castorl msema-Tunduru Masasi---Deceased
8. Mwalunyungu-Tunduru Masasi---Deceased
 
Kila la kheri baba askofu mteule Urassa.

Uaskofu ni vigezo na kamati iliona baba huyu anavyo vigezo vingi kuliko wengine.

Haya ya kuhoji hoji ukabila yapelekwe kwa ibilisi, kazi ya Mungu haichagui kabila ila huangalia moyo wa utayari.

Hii nguzo ya centrallized system toka Roma ndiyo imelipa kanisa la wenzetu wakatoliki uimara kwa karne nyingi na kuepusha migogoro. Imelifanya kanisa kuwa tajiri wa kiroho na mali regardless of lot of heavy challenges wakati wengine wakichinjana kugombea vyeo. Hongereni wakatoliki, hongereni Sumbawanga, hongera kwa kanisa la Mungu!
Amina mkuu JUMOG @S.
 
Maaskofu wa majimbo mengine hawapeleki mapadri kusoma..
 
Kila la kheri baba askofu mteule Urassa.

Uaskofu ni vigezo na kamati iliona baba huyu anavyo vigezo vingi kuliko wengine.

Haya ya kuhoji hoji ukabila yapelekwe kwa ibilisi, kazi ya Mungu haichagui kabila ila huangalia moyo wa utayari.

Hii nguzo ya centrallized system toka Roma ndiyo imelipa kanisa la wenzetu wakatoliki uimara kwa karne nyingi na kuepusha migogoro. Imelifanya kanisa kuwa tajiri wa kiroho na mali regardless of lot of heavy challenges wakati wengine wakichinjana kugombea vyeo. Hongereni wakatoliki, hongereni Sumbawanga, hongera kwa kanisa la Mungu!
Asante Mkuu!, Ubarikiwe sana, maana ni watu wachache wanaoweza kulisifu Kanisa Katoliki. Wengi hupenda kulitukana tu.
 
Maaskofu wahehe
1. Tarcisius Ngalalekumtwa-Iringa
2. Paschal Kikoti-Mpanda---Deceased
3. Damian Dallu-Songea
4. Evaristo Chengula-Mbeya
5. Norbert Mtega-Songea--Retired
6. Askofu Maluma-Njombe
7. Castorl msema-Tunduru Masasi---Deceased
8. Mwalunyungu-Tunduru Masasi---Deceased
Duh!, wewe ni mfuatiliaji sana, mimi nilikuwa sijui.
 
Pamoja na ukabila sio mzuri, kwenye kanisa hawaangalii unatoka kabila gani bali unasifa gani.

Pia uteuzi haufanywi na maaskofu hapa Tanzania bali Roma inamfumo wake wa kuwapitia mapadri mmoja baada ya mwigine na kupendekeza kwa papa kisha uteuzi.

Kinachotia moyo ni kwamba kuna watu wanasema wachaga ni wakabila, wanajipendelea au wanabebwa. Ukifuatilia kwa karibu utaona wengi wao wamesoma shule za kutosha kwenye karibu kila fani. hivyo inapotokea nafasi wao wanaonekana kwanza na kwa bahati mbaya majina yao yanafahamika hata asiposema kabila lake.

all the best Askofu Mteule na Emeratus wa Sumbawanga
 
Back
Top Bottom