Nipo Ludewa,naomba kujua nawezaje kusafiri kurudi mbeya kwa kutumia ziwa nyasa.

chonga mtumbwi tembea ukikosa tafuta hata Yale mabeseni marefu ya kuogea watoto piga makasia na mwiko! simple
 
tafuta usafiri wa manda ukifika hapo kuna bandari subiri meli ya kwenda itungi kyela utafika mbeya.........utani pm nikuagize mbasa pale manda bandarini
 
Ungekua korosho ungefika siku iyo iyo
naijatwittersavages-20181225-0002.jpeg
 
Back
Top Bottom