Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,425
bado mda mchache tumalize 2018 kwenda 2019.ila kuna mambo ambayo yanaweza kuwa kimataifa na si kimataifa.au uzito wa jambo fulani na sijambo.
mimi kwangu yanayo funga mwaka 2018
1-fastjet vs ATCL
2-wapinzani vs jpm
3-wcb vs clouds
4-mdogowake rostam vs ruge malila (nalinganisha kesi)
5-manji vs wasiojulikana
....
je wewe mwenzangu
mimi kwangu yanayo funga mwaka 2018
1-fastjet vs ATCL
2-wapinzani vs jpm
3-wcb vs clouds
4-mdogowake rostam vs ruge malila (nalinganisha kesi)
5-manji vs wasiojulikana
....
je wewe mwenzangu