Nahitaji kuita press conference.

Nahitaji kuita press conference.

Dseni

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
40
Reaction score
52
Nahitaji kuita press conference nizungumzie masuala mbalimbali yanayonikera hapa duniani. Hivi napaswa kuomba kibali polisi? Msaada tafadhali
 
Nahitaji kuita press conference nizungumzie masuala mbalimbali yanayonikera hapa duniani. Hivi napaswa kuomba kibali polisi? Msaada tafadhali

Bajeti ya vibahasha unayo au wee ni soda tu?
 
yatakuja magazeti ya umbea na shilawadu kukusikiliza
 
Back
Top Bottom