Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mrembo Lilian Peter Ndagiwe mkazi wa Shinyanga Mjini amezua gumzo wakati akifunga ndoa na Ottoh Yanga baada ya kupanda na kuendesha Tinga Tinga /Katapila ambalo hulitumia katika kazi zake katika...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Asitokee Mtu akadhani labda kwamba yaliyotokea hasa haya Maamuzi yametokana na Yeye kwani ni Uwongo mtupu na kama alikuwa kweli na nia nzuri basi asingekaa kimya miezi miwili wakati hili Suala...
46 Reactions
69 Replies
8K Views
Timu ya mashujaa ya kigoma ipigiwe wimbo huu baada ya kuipiga Simba Fc
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Babati. Jeshi la polisi Mkoani Manyara linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata mapanga mkazi wa Kijiji cha Bashang' wilayani Hanang. Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Desemba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa anaefahamu taratibu ambazo zitaniwezesha nipate scholarship Sweden (masters). Naombeni msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Imekuwa ni vigumu sana kwa walio wengi kufanya chaguo juu ya mwenzi bora wa kudumu naye, hasa kwa upande wa wanawake/waschana kwenye kutoa maamuzi juu ya wanaume pindi wanapoleta maombi...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Yangu matumaini kila mmoja wetu humu ni mzima wa afya tele, wale ambao kidogo mambo hayako sawia Mungu awape wepesi katika hali walizo nazo ,, Niende moja kwa moja kwenye mada ,binafsi...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wanajanvi. Yule ndugu yetu mtanzania mzalendo alopima samaki kwa rula pale bungeni inasemekana ameula. Sasa ni mkurugenzi wa MARINE PARKS TANZANIA. Uteuzi wake una baraka za waziri husika, chanzo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Twanga pepeta mnachokifanya sio fear kabisa mkiwa Dar mnaaza kuimba kuazia saa moja mkiwa mikoani mnaaza kupiga mziki saa saba usiku amfanyi fear kwa hilo niko mwanza villa park mpaka saizi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salamu nyote. Poleni na mawazo ya December plus January! Straight kwenye mada tajwa hapo juu. Hapa duniani hatujaja kupata msoto , na hatujaja kwa bahati mbaya. Tumekuja kwa reasons. Mungu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa walikuwa washirika wetu kibiashara. Wameingia Tanzania October 2017. Leo wanaondoka nchini kwa style ya kipekee. Tunaelekea wapi TRA inapokuwa chanzo cha kufunga biashara? Huyu ni Binamu...
60 Reactions
243 Replies
28K Views
Wadau nimekuwa najiuliza kwani binadamu akifariki kuna MAITI HUCHOMWA moto na kuna MAITI huzikwa. SWALI langu ni kwanini wanachoma moto na wale wanaozika kwanini wasichome moto? Je ni masuala ya...
2 Reactions
22 Replies
7K Views
Neema Imetangazwa mpaka 2023, hakuna muda tena, hapa nimeanza kudraft barua kwaajili ya mama angu, mama staafu kwa Amani zamu yetu ikifika nasi tutapambana. vvm
1 Reactions
15 Replies
3K Views
10 nations where the penalty for gay sex is death By Colin Stewart Ten nations with large Muslim populations have laws providing for the death penalty for same-sex activity. Only a few...
0 Reactions
163 Replies
23K Views
MWINGEREZA Matt Haig ambaye ameandika kitabu kilichouzika sana cha ‘Reasons to Stay Alive’ anasema yeye akinywa pombe humletea wasiwasi hofu na uoga anatoa ushauri wa namna ya kufanya ili asinywe...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakati tukiendelea kufurahia na kumpongeza raisi kwa kutengua kanuni na hasa ya kikokotoo kipya, ni vyema tukafahamu implication ya nn hasa alicho maanisha raisi. Fuatana nami kwenye hili andiko...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa hongereni na poleni kwa majukumu ya hapa na pale. MERRY CHRISTMAS. wakuu kawaida tunapoelekea mwisho wa mwaka wakristo huwa tunasikukuu moja kubwa ya kuzaliwa(kufanyika mwili) mkombozi...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu Jana nimefuatilia kipindi cha ITV kuhusiana mjadala wa kikokotoo cha mafao kwa watumishi pindi wanapo staafu. Kuna mchambuzi mmoja alikuwa kavaa nguo nyeusi , huu jamaa alieleza vizuri sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo nilikua napita-pita kwenye site moja ya ajira (Ntahifadhi jina la site)...nikakutana na job vacancy ya Senior Transport Officer ilitangazwa na Jhpiego (Tz)! Kabla cjaendelea na hi thread...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani hili shirika lilikufaje wadau maana muda huu ndio lingekuwa mkombozi
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…