heri ya mwaka mpya kwenu wote ndugu zangu
napenda niishukuru team nzima ya uongozi ya jamii forum kwa kutupa sehemu ya kuelimishana, kepeana ushauri, kutiana moyo na hata kupata weza na mengine...
KWAKOO MH WAZIRI
NAJUA UNA MAJUKUMU MENGI SANA TUNAOMBÀ MSÀDA WAKO
PALE.MBEZI KUNA WANANCHI WAKKO WAMELIPIA UMEME KILA.KITU WANA MWEZI WATATU NGUZO ZIMEISHA
UKIULIZA ZINASUBIRIWA TOKA SAFRICA...
WHATSAPP fans will soon be seeing a major change coming into force, and it could spark controversy.
This year alone WhatsApp users have seen plenty of changes, with the introduction of stickers...
Basi linalomilikiwa na kampuni ya Otta High Class, ambalo lilikuwa linafanya safari zake kati ya Dar es salaam kwenda Bukoba, limepata ajali ya kupinduka Asubuhi ya leo Disemba 30, 2018 maeneo ya...
Mwenye kujua historia ya meli kongwe Mv Liemba naomba anijuze nasikia tu kuwa ilipinduliwa na wakoloni baada ya kuzidiwa vita, naomba kujua ilikuaje, na kwa sasa iko wapi na hali yake ikoje!!!
Maana huo usemi unaweza kutujenga au kutubomoa kwa7bu kwa upande wangu nimeuanza mwaka nikiwa na viporo vya madeni je kwahali ni kweli nitaumaliza hivo au? sielew.Naombeni msaada- kisaikolojia...
KUWAPO kwa ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo au machimbo ya madini ni moja ya vishawishi vilivyovuta wakoloni kuweka miundombinu ya bandari na reli ili kufanikisha uwekezaji na kusafirisha...
Zilipoanza TV hizi za Kipemba (Zisizo na kisogo kama ndugu zangu wengi wa kipemba nyuma kichwani huwa wanakuwa flat) FLAT SCREEN tuliona tofauti kubwa na zile za Kizaramo ( Zenye kisogo)
Sasa...
Kwasisi wengine jua likizama ni siku mpya tayari kwa hiyo nafurahi kuingia 2019 Japo kwa taabu
kiufupi 2018 ulikuwa mwaka wa shida na tabu Sana kiuchumi na kifamilia
nimeweza kufirisika...
Salam za 2019
Kumbuka;
Mzee Mengi alikuwa na gazeti linaitwa ALASIRI. Halikuleta faida. Gazeti la Dar Leo vile vile. Ushindani wa magazeti mengine ulikuwa mkali. Wasomaji wakabadilika. Internet...
Hi gentlemen & ladies!
Nakumbuka mbali sana miaka hiyo tulikuwa tunaupokea mwaka kwa style ya ajabu ya kuvuta bangi.
Tulikuwa tunasherehekea kwa muziki pale kijijini kwetu na ilipofika saa tano na...
Hizi battery za Tiger either ni za kiwango cha hali ya chini sana au ni feki, maana nimeshanunua mara kadhaa na huwa hazidumu kabisa, huwezi kulinganisha na battery kama zile za national, na...
Nachukizwa sana kama siyo mno na tabia ya Watu mbalimbali hasa Makampuni kujifanya wakati wa Sherehe mbalimbali hasa hizi Kubwa za Kidini ndiyo Wanatembelea Makundi ya Watu wasiojiweza kama Watoto...
Tazama Nchi ambazo zimeshaona mwaka mpya na ambazo zinafuatia
Monday 10am – Samoa and Christmas Island/Kiribati
10:15am – New Zealand
1pm – Most of Austalia
3pm – Japan, South Korea and North...
HABARI ZA JUMAPILI RAFIKI?
Naomba nikushirikishe Vitu 21 rahisi vya kufanya kila siku ili kuwa na maisha yenye furaha na mafanikio.
i. Lala masaa nane kwa siku.
ii. Kula milo miwili kwa siku.
iii...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
ISO 9001:2008 CERTIFIED
TAARIFA KWA UMMA
KUTUMIKA RASILIMALI NAMBA MAALUMU 15420 NA KAMPUNI YA RIFARO BILA CHETI CHA MATUMIZI YA...