Most listened radio stations in Africa, Clouds imeshika nafasi ya 3 Afrika, ikiwa na wasikilizaji Milioni 17.

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Redio uchwara, jifunzeni kwanza toka kwa clouds media group kabla hamjaanza kupambana nao
Screenshot_20190102-023032_Twitter.jpg
 
Hata mm naweza nikatengwneza yangu.nikaanza
1.Radio.uhuru -23 Milion
2.Times Radio -19 milion
3.E fm - 17.5 milion
4.Radio one 16.8 miliom
Clouds wakawa wamwisho
 
Ndio maana kila redio ikianzishwa inajaribu kujishandanisha na clouds lkn baada ya muda mfupi kila kitu kinakuwa kwenye nafasi yake.

Ila source inahitaji kutoa maelezo ya ziada.
 
Lengo lako mkuu hapo ni Kuoponda wasafi fm, umeshindwa kabisa kufikiri radio ambayo haija tambulisha vipindi na bado inasikika mikoa mitatu inawezaje kujiringanisha na clouds fm ambayo inasikika karibu tanzania nzima (kuna maeneo haisikiki).
.
Linganisha clouds tv na wasafitv kwa kutumia mgongo wa visimbuzi na cable tv uone nani yuko juu kwasasa Joseph kusaga aliwahi kusema hivi "Tulikuwa tunapata viewers million moja kwa siku sasa hivi hata laki hatupati hivyo makampuni mfano ya simu sasa hivi yanatulipa yanavyotaka" .
.
Wasafi tv imejipatia umaarufu mkubwa sana huku Nairobi kwa muda mfupi si rahisi kwa mkenya kutazama clouds tv juu ya content zake zilivyo ila wasafi tv inatizamwa sana juu ya ushawishi wa bwana nasibu na maudhui yake.
 
Back
Top Bottom