Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu naomba kujua gharama za kukata bima ya afya na nhif nahitaji kujua gharama zake na me niko Katie bima
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeletewa barua pepe hii kutoka kwa Mwana Mama wa Kitanzania ambaye alipendana na mwanaume raia wa Burundi na hatimaye wakaoana. Baadaye mume wake akafukuzwa nchini. Sijui kama alikuwa na makosa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania wote wapenda amani tukatae tukemee na tupinge haya yanayoendelea ya kutekana kuuwana na kupangiana michongo ovu Tanzania salama inawezekana
0 Reactions
2 Replies
568 Views
Nianze na msemo usemao 'ganda la mua wa Jana, chungu kaona kivuno' Naamini wapo wengi ambao walimpinga mzee wa awamu ya IV na wakaja kumkumbuka ktk awamu hii wakiwa wamesahau yale waliokua...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola amesema kuwa Kuna baadhi ya matrafiki barabarani huwapiga faini madereva wanapokamatwa wakiwa na Gari lenye ubovu Fulani. Mfano gari imepasuka...
16 Reactions
45 Replies
7K Views
Niende kwenye mada husika. Binafsi nina gari mbili, saloon na pickup kerry. Jambo ambalo hunishangaza ni trafiki wanakutaka uandike jina la mmiliki ubavuni mwa gari pickup tu? Ila sio saloon...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Naomba kujua hili tatizo la maji katika mji huu mdogo wa Kisesa ni la wananchi kujitakia kwa kutosema kwao, jeuri ya Mamlaka ya Maji Mwanza, dharau tu kwa wananchi wa eneo hili au kushindwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Tunaangalia mpira kombe la mapinduzi Zanzibar saa hizi saa kumi na nusu lakini wakati mpira unaendelea baadhi wakadai kuwa huo mpira ni zamani kwa sababu hakuna alama ya live.Kwa wale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*Awahudumia Messi, Pogba, Dj Khaled, Ben PolMWAKA 2008, huko nchini Uturuki kijana, Nusret Gökçe, aliiambia nafsi yake kuwa itakapofika 2010, atakuwa amefungua mgawaha wake wa chakula ili aweze...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna mtu mwingine kufafana na mtu fulani inakuwa ni kosa. Kwa jinsi saizi maisha yalivyo magumu kuna watu wanaweza wakamkuta huyo mzee wakamtandika makofi wakijua ni makufuli kabisa. Kwahiyo...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
*NUKUU ZA NDG. HUMPHREY POLEPOLE KATIKA DARASA LA ITIKADI NA UZALENDO - TAWI LA UVCCM MABIBO HOSTEL UDSM* 05 Januari 2018 1. "Vijana wa CCM lazima muwe mstari wa mbele katika masomo, kuwa na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kagera yaendelea kuongoza kwa akili na ufaulu kwa mikoa yote Tanzania, Siku si nyingi imeongoza kitaifa mtihani darasa la saba, kwa sasa imeongoza mtihani kidato cha pili 1.Kagera...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mzuqa Hiki kitendo cha China kupeleka chombo mwezini kimewashtusha sana Wazungu. Siyo kuwashtusha tu bali kimewafanya wawe na wivu kwa usiri uliofanyika kuipeleka iyo rover bila wao kujua licha...
4 Reactions
52 Replies
6K Views
Msaada anayefahamu ilipo iyo benki, maana kwenye website yao inaonesha tu kuwa ipo barabara ya Ali Hassan Mwinyi ila haioneshi ni sehemu gani hasa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
47 Replies
6K Views
*Kurugenzi ya m Nianze kwa msemo wa *kilatini* usemao" *ignorantia legis neminem excusat"* kwa tafsiri isiyo sahihi ya *kiswahili* ni kuwa, " *Kutojua sheria sio kinga ya mtu kushindwa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Boy's rape scene delays film release as Hollywood and Afghan culture collide Studio to take young Kite Runner stars to US before worldwide screenings amid fears for their safety at home Dan...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Matumaini yangu kuwa hamjambo na wazima wa afya, binafsi naendelea vizuri alhamdulillah maisha kimtindo yanakwenda japo twazidi kuzisoma namba. Nimeona nitoe maoni yangu kwenu juu ya masuala...
2 Reactions
29 Replies
13K Views
Wakubwa nimetoka ubungo hapa hali ni mbaya gari zimejaa na mimi lengo langu jumatatu niamkie Dodoma.. Tusaidiane kwa mwenye lolote, tutachangiana. NB: Nipo mwenyewe tu na kibegi cha mgongoni. Pm...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tupia picha ya zamani ya simu au nembo na huduma za mitandao yetu pendwa ya simu hapa tz Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wana bodi salam, Kwanza niwapongeze wote ambao kwa neema zake Mwenyezi Mungu tumeweza kuuona mwaka mpya wa 2019, kama maada inavyo hoji hapo juu, ndug zangu nilikua nikifuatilia vyombo mbalimbali...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…