Kwanini anuani huandikwa ubavuni mwa pickup tu?

Kwanini anuani huandikwa ubavuni mwa pickup tu?

Diesel generator

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
706
Reaction score
663
Niende kwenye mada husika. Binafsi nina gari mbili, saloon na pickup kerry. Jambo ambalo hunishangaza ni trafiki wanakutaka uandike jina la mmiliki ubavuni mwa gari pickup tu? Ila sio saloon. Japokuwa gari zote ni private!! Nimechunguza pickup zote private na za biashara zina anuani ubavuni!.kwanini pickup tu?
Kwanini sio gari zingine? Isipoandikwa tatizo ni nini?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sababu zilizopitwa na wakati, Siku hizi mawasiliano yalivyo rahisi, bado, unlazimishe mtu, kuwa anuani ya barua, karatisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom