Tulipotokea na mitandao yetu ya simu

Tulipotokea na mitandao yetu ya simu

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,259
Tupia picha ya zamani ya simu au nembo na huduma za mitandao yetu pendwa ya simu hapa tz
download%20(1).jpeg
tumblr_inline_n9tpsuRm5W1ra2evx.jpeg
images%20(44).jpeg
logo.gif
images%20(38).jpeg
images%20(39).jpeg
images%20(42).jpeg
images%20(40).jpeg
images%20(41).jpeg
images%20(43).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi hizo Celtel ndio walikuwa wanatisha kwa matangazo.
 
ha ha ha, wewe jamaa bwana, eti kwao Misungwi. Misungwi si ipo mwanza? Kwani msaga sumu ni mtu wa mwanza? msukuma?
Hahaaaa, tena wewe ndio hata kiswahili ulikuwa hujui upo KASANGEZI huko kasuluVipi upo kitaa gani sasa hivi.. Mishe zako zimeshakaa sawa?
 
Hahaaaa, tena wewe ndio hata kiswahili ulikuwa hujui upo KASANGEZI huko kasuluVipi upo kitaa gani sasa hivi.. Mishe zako zimeshakaa sawa?
Nilikuwa 'Kazilankende' Ndani kabisa kule! Nikiwa nakula maembe na mawese.
Kuhusu mishe, siyo mbaya. Kesho natarajia kwenda Bagamoyo kuhudumia Nguruwe!
 
Back
Top Bottom