Usafiri mgumu.. msaada anaeenda Dodoma Kesho

luqman luqman

JF-Expert Member
Jun 14, 2014
839
1,363
Wakubwa nimetoka ubungo hapa hali ni mbaya gari zimejaa na mimi lengo langu jumatatu niamkie Dodoma.. Tusaidiane kwa mwenye lolote, tutachangiana.

NB: Nipo mwenyewe tu na kibegi cha mgongoni.
Pm tafadhali..

FFD306C7-14F3-47A8-A0C8-2B6B3BAC8E24-2664-000002009EE9118B.jpeg
 
Acha uchuro kijana wangu 😔!!
...
Jana kasafirishwa dogo kwenda makao makuu ya nchi, tiketi tumekata asubuhi pale pale kwenye basi.
...
Leo nimempigia simu yule alimkatia dogo kuwa mwingine tena anaondoka kesho, jibu lake anasema njoo naye asubuhi ubungo.
...
Sasa sielewi unataka kujua au una....!
 
Acha uchuro kijana wangu !!
...
Jana kasafirishwa dogo kwenda makao makuu ya nchi, tiketi tumekata asubuhi pale pale kwenye basi.
...
Leo nimempigia simu yule alimkatia dogo kuwa mwingine tena anaondoka kesho, jibu lake anasema njoo naye asubuhi ubungo.
...
Sasa sielewi unataka kujua au una....!

Sawa mkuu nashkuru..
 
Back
Top Bottom