Nilifika ubungo saa kumi na moja alfajiri,ndani ya kituo mazingira ni mabovu,hakuna sehemu ya kupumzika abiria pindi jua au mvua inapotokea,barabara za ndani ni mbovu mashimo kibao,sijui hizi pesa...
Habari waungwana!!!! Nilisafiri kwa mda mrefu kidogo na nimerudi nimekuta gari ina notification 3,je nawezaje kujua kiasi cha pesa nnachodaiwa kwa njia ya online bila kuonana na wale nguo nyeupe...
Watu zaidi ya 300 wanatafutwa na Polisi Kagera kwa tuhuma za uvamizi.
Jeshi la polisi katika mkoa wa Kagera linawasaka watu zaidi ya 300 wa kijiji cha Kilela kilichoko wilayani Kyelwa waliokuwa...
Mahakama ya Wilaya Mkoa wa Kigoma imewahukumu wakazi watatu wa Mtaa wa Murubona Wilaya ya Kasulu kutumikia kifungo cha miaka miwili jela au faini ya sh. 200,000/= kwa kosa la kufanya biashara ya...
Wanajamvi samahani sana mimi ni mgeni hapa ninaomba kueleweshwa tu kwamba,hivi hapa nchini kwetu kuna barabara zile wanaitwa high way?
Mimi naona matuta ya barabarani kila kona,naona vibao vya...
Simulizi Inayoelezea Na Kuangazia Aina Ya Tawala Nyingi Za KiAfrika Kwa Sasa. Imeandikwa Kwa Ustadi Mkubwa Na Wa Kumfanya Msomaji Asichoke Kuisoma.
Kama Unapenda Sumulizi Iliyochanganya Maudhui...
Maelfu ya wananchi wamefurika kwenye shamba la Mwenyekiti wa kitongoji cha Bugege mzee Clement Busiga aliyeokota jiwe la madini ya dhahabu shambani kwake wakati akichimba mashimo ya kupanda...
Ivi haya mambo yanatokea hapa hapa bongo ama ?
Habari
Ni kweli mkeka huu umeshinda,Je Premier Bet kama kampuni wamefanikiwa kukamilisha malipo ya mshindi huyo ?
Mshindi huyo yupo !
Kama yote...
Dar es Salaam. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara amepiga marufuku wanafunzi wa shule binafsi ambao hawajamaliza ada kusimamishwa au...
Katika utafiti uliofanyika ndani ya jiji la Dar es salaam....kipindi cha ambacho asilimia kubwa ya kabila la Wachagga wanaopoenda kula sikuku ya Chrismass Moshi....athari zinazopatikana kipindi...
Kwa maneno yaliyo ndani ya waraka wa lissu yanaonyesha wazi nani aliepanga shambulizi lake.
Huu ni mtazamo wangu wangu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa tangu asubui nimetoka jioni hii kufurahisha nafsi nimekosa sehemu nipo hapa Rock City
Kuna Watu Wengi kiasi flani chake,
1/Mziki Mbaya
2/Vyakula Vyao pia vibaya
3/Hamna Hata Maua...
Habar za asubuh wadau,napenda tijuzane juu ya mambo mawili yafuatayo
1. Je kucha na na nywele ni viungo katika miili yetu? Na ka ma ni viungo kwa nini tunavikata kila baada ya muda fulani wakati...
Wadau kama heading hapo juu nataka kufanya ziara binafsi maeneo ya mafinga ni wapi sehemu murua ya kupata accomodation .na vipi bora bed and breakfast, full board au just bed ?then nikale mitaani...
KAMA
Umekula kwa mama ntilie leo kwa sababu bei yake iko chini- umekwepa kodi kupata unafuu
kama umevaa nguo za mtumba umekwepa kodi umekwepa kodi kupata unafuu
kama umenunua bidha yoyote kwa...
BABA AFUMWA AKIMBAKA BINTI YAKE
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
WANANCHI wa kitongoji cha...
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, mkoani mwanza. Tumeoneshwa kupitia kituo cha Star TV, mizigo wa matofali ya dhahabu yenye thamani zaidi ya Tsh. Bilioni 360 yakiwa kwenye gari dogo aina ya Toyota...