Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,152
Habari wana JF
Kuna utekaji umetokea hivi karibuni Geita, (maeneo ya Nyankumbu kwa wale wanaoufaham mji wa Geita)
Ipo hivi, kuna dereva pikipiki maarufu kama bodaboda alipigiwa simu kwa namba anayoifahamu, aliyempgia akamwambia amuazime Tsh 40,000/= atamrejeshea ndani ya muda mfupi, bodaboda akamtumia kwa njia ya M-PESA baada ya masaa kadhaa akapigiwa simu na ile namba ikimtaarifu kua njoo uchukue pesa yako karibu na sheli, bodaboda akaenda pale karibu na sheli, kufika hamuoni yule aliyempgia sim, akamtafuta kwa simu akampata, akamwambia njoo hapa kwenye gari iliyopaki hapa karibu yako, jamaa akapaki bodaboda yake then akalifata gari lilopaki karibu yake, kufika pale akasikia sauti ikisema ingia ndani ya gari jamaa yangu, ntakupaje hela hadharani, ile anaingia tu milango ikafungwa na gari kutokomea.
Dereva bodaboda alipata fahamu yupo kwenye nyumba kubwa iliyozungushiwa fensi, ndani kuna wanawake kibao, walikua wakibishana na wanaume ambao inaelezwa kuwa ndiyo walimteka kijana huyo kuwa mmetuletea mtu gani huyu, bora mmfukuze au ikiwezekana muueni, wakamshushia kipigo na kumburuza hadi nje ya geti kisha kumuacha aende zake.
Dereva bodaboda huyo alijishangaa yupo maeneo ambayo hayafahamu kabisa ila njiani alipishana na watu jamii ya Masai. Alipotemebea kwa muda kidogo akaona kibao kimeandikwa Babati, kwa maana hiyo alitekwa Geita na kupelekwa Babati.
1. Haijulikani watekaji wanakuteka kwa ajili gani haswa ukizingatia nyumba yavwatekaji imejaa wanawake.
2. Namba ya simu aliyopigiwa hadi anatekwa huenda inakua "hacked" kwasababu namba utaifahamu ila mtu atakua siye yule mwenye namba. Kuhusu kuitambua sauti ya anayekupigia ipo tifaut na namba ulivoisevu bado haijajulikana inakuaje maana hadi naandika uzi huu Aliyetekwa yupo njian anarejea Geita ila hayo maelezo juu aliyotoa kwa ufupi.
NB: Kama kutakua na maelezo ya kunyooka na kueleweka zaidi ntayaleta tena hapa. Ila hali ndiyo hiyo kuna utekaji huo umejitokeza na wanateka watoto wa kiume.
Sent using Jamii Forums mobile app