Wakuu, toka wiki hii ilivoanza nilisisitiza sana suala la ndugu vijana na wazee kuja kusalimia viongozi wetu wa kisiasa,makazini huko pia hata ndugu hata marafiki ambao mpaka leo wapo mahabusu...
Enzi hizo wakati nasoma mimi sikuwahi kusoma Boarding, nlikuwa nasoma Shule ya Day, lakini Vijana wangu waliokuwa wakitoka Boading kipindi cha likizo walikuwa wakilia lia sana harufu ya mafuta ya...
Wadau ninaomba kupewa uhakika, je ni kweli Ndege zinazokuja Tanzania kwa sasa Airbus a220-300, ndiyo ndege kubwa kuliko zingine Afrika? Kama siyo hivyo, kwa nini watanzania wanazipa sifa hiyo? Ni...
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA), Profesa Abiud Kaswamila amekabidhi Sh bilioni 1 za ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Karatu na vituo viwili vya...
PATO LA TAIFA LAONGEZEKA VISIWANI ZANZIBAR KWA 30%
Hayo yamesemwa na Rais wa Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 55 ya mapinduzi ya Zanzibar...
OFISA Uhamiaji wa Mkoa wa Geita, Naibu Kamishna, Wilfred Marwa, amesema bado kuna wimbi kubwa la wahamiaji wanaoingia nchini na kwa mwaka jana waliwakamata 624.
Kwa mujibu wa Kamishna Marwa, kati...
Kila mtu siku hizi anafoka . Hakuna tena kuelekeza , kuonesha njia , kutoa maoni, kutia matumia, wala kufariji, naam ......kufoka ni ndio mtindo was sasa , kila mtu anafoka , tumekuwa watu wa...
nashukuru kuzaliwa tanzania.ila kwa nchi yangu ndio naona nchi pekee ambayo kilichomo hakina faida kwako au kwetu mfano madini,mazao na n.k
ukienda mwanza au kanda ya ziwa unaweza kusema hapa...
Wahenga,
Nimeshangazwa baada ya kurefresh new posts, nikaona ile thread ya huyu Kijana Emma kwamba imetazamwa/kusomwa na watu 11138, Comments 282, Likes 43 ila aliyethibikika kummchangia hadi...
Nimetumiwa ujumbe toka namba
0759965429.
Ujumbe ulio ambatanishwa unasema
"TATU MZUKA
(Jackport)
Hongera Umeweza Kujishindia Milioni 6,000,000 Katika Droo ya Saa 4 Kamp No. 555111
Tatu Mzuka...
Mkoba wa rais wa zamani wa Zimbabwe uliojaa Dola za Marekani waibiwa
Watu watatu wamefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe, wakishtakiwa kuiba mkoba uliokuwa na $150,000 (£117,600) pesa taslimu...
"Mradi wa Maporomoko ya Mto Rufiji kukamilika Aprili 12, 2020, litakuwa na uwezo wa kujaza maji mita za ujazo Bilioni 35.2" Dkt. Medard Kalemani, Waziri Nishati - Januari 13, 2019.
"Tumekuja...
Habari wadau
Naomba msaada wenu namna na mchakato wa kuandaa tamasha la mjadala wa hamasa kwa vijana.
Nataka kufanya hiki kitu ila sijui pakuanzia namna ya kupata kibali, wadhamini, watoa mada...
Magu anafikiri nini na sijaelewa amekata mfereji wa ajira tumekaa kimya ameharubu sekta ya afya Muhimbili watu Wanakufa maiti wanazikimbia madeni.
hakuna Huduma bure wajawazito
Wala mtoto ni...
wana bodi.
Naomba kujuzwa alipo huyu Gwiji la habar bwana Dotto Bulendu. alikuwa anaendesha kipindi kikienda kwa jina la "JICHO LETU NDANI YA HABARI" Ghafla kipindi kile kikafyekwa nadhan mwanzoni...
WAKALA wa Barabara (TANROADS) mkoani Pwani unatarajia kutumia Sh bilioni 25.4 kwa ajili ya kufanya matengenezo ya barabara zake mbalimbali. Hayo yamesemwa mjini Kibaha na mhandisi wa wakala huo...
Habari wana JF
Hawa watu ni watu wema kabisa, wametukaribisha Dar es Salaam wengine wazazi wetu wakija na matongotongo kwa kauli ya Hayati Ditopile Mzuzuri. Nafikiri ni wakati wetu kurudisha...