Ndege Kubwa Kuliko zote Africa

Ndege Kubwa Kuliko zote Africa

Celsus

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2008
Posts
381
Reaction score
440
Wadau ninaomba kupewa uhakika, je ni kweli Ndege zinazokuja Tanzania kwa sasa Airbus a220-300, ndiyo ndege kubwa kuliko zingine Afrika? Kama siyo hivyo, kwa nini watanzania wanazipa sifa hiyo? Ni kwa manufaa ya nchi yetu au tunaonekana watanzania wote ni vilaza? My take Airbus a220-300, zamani ni ndege aina ya Bombadier A-100, ambayo imebadilishwa jina na kuitwa Airbus a220-300 baada ya Kampuni ya Airbus kuingia ubia na Kampuni ya Bombadier. Ndege hiyo ya airbus a220-300 bado inatengenezwa Canada na siyo Marekani. Kenya Airways wanazo ndege 8 aina ya Boeing 787-8 zenye uwezo wa kubeba abiria 235, kila moja. Je, ni kweli Airbus a220-300, inazidi Boeing 787-8?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua jina Airbus Lina wachanganya wengi
nature_photobook-20190110-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau ninaomba kupewa uhakika, je ni kweli Ndege zinazokuja Tanzania kwa sasa Airbus a220-300, ndiyo ndege kubwa kuliko zingine Afrika? Kama siyo hivyo, kwa nini watanzania wanazipa sifa hiyo? Ni kwa manufaa ya nchi yetu au tunaonekana watanzania wote ni vilaza? My take Airbus a220-300, zamani ni ndege aina ya Bombadier A-100, ambayo imebadilishwa jina na kuitwa Airbus a220-300 baada ya Kampuni ya Airbus kuingia ubia na Kampuni ya Bombadier. Ndege hiyo ya airbus a220-300 bado inatengenezwa Canada na siyo Marekani. Kenya Airways wanazo ndege 8 aina ya Boeing 787-8 zenye uwezo wa kubeba abiria 235, kila moja. Je, ni kweli Airbus a220-300, inazidi Boeing 787-8?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi imesemwa hii ndio ndege kubwa kuliko zote Africa?

Rudi ulikosikia ukasikie vizuri wamesemaje af urudi upya
 
Wadau ninaomba kupewa uhakika, je ni kweli Ndege zinazokuja Tanzania kwa sasa Airbus a220-300, ndiyo ndege kubwa kuliko zingine Afrika? Kama siyo hivyo, kwa nini watanzania wanazipa sifa hiyo? Ni kwa manufaa ya nchi yetu au tunaonekana watanzania wote ni vilaza? My take Airbus a220-300, zamani ni ndege aina ya Bombadier A-100, ambayo imebadilishwa jina na kuitwa Airbus a220-300 baada ya Kampuni ya Airbus kuingia ubia na Kampuni ya Bombadier. Ndege hiyo ya airbus a220-300 bado inatengenezwa Canada na siyo Marekani. Kenya Airways wanazo ndege 8 aina ya Boeing 787-8 zenye uwezo wa kubeba abiria 235, kila moja. Je, ni kweli Airbus a220-300, inazidi Boeing 787-8?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hizo taarifa unazitoa wapi mbona hakuna Kiongozi yoyote aliyetoa hizo taarifa..... inajulikana kuwa hizo ndege ni jina tu limebadilika ila kwa jina hilo Tanzania ndiyo nchi ya kwanza kuwa na hizo ndege na capacity yake inaelezwa kila siku ni abiria 132......wakati Dreamliner ni 262 wewe hayo maelezo unayatoa wapi.....acha kuzusha maneno maneno tu yasiyo na tija yoyote
 
ni kwama teknolojia ya ndege hizi tulizozileta ni kwanza katika nchi za afrika kuagiza tena serekali za frika
 
Kwanza kwa ndege za engine mbili hata dreamliner uliyoitaja siyo kubwa. Ndege ya engine mbili kubwa ni boeing 777-300. Klm wanaitumia kila siku toka Amsterdam to kilimanjaro/dar. Tatizo tulilo nalo Watanzania ni kujigeuza mazwazwa na kusifu ujinga kwa kila tunachofanya. Utasikia hii ni kubwa kuliko zote Africa mashariki na kati, hii ni ya kwanza Africa, huu ni wa kisiasa kabisa africa mashariki na kati, huu ni wa pili Africa.... Blablah nyingi. Hayo yote wanafanya kwa vile wanajua wanaongea na mazwazwa
 
My concern,.youtube ni mtandao wa kijamii, watoto wetu wanauangalia, na wanajifunza ujinga...that is my problem.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu wangeandika "ndege aina ya airbus 220-300 kutua tanzania" wasingekunasa vipi ili u-view?

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Wewe hizo taarifa unazitoa wapi mbona hakuna Kiongozi yoyote aliyetoa hizo taarifa..... inajulikana kuwa hizo ndege ni jina tu limebadilika ila kwa jina hilo Tanzania ndiyo nchi ya kwanza kuwa na hizo ndege na capacity yake inaelezwa kila siku ni abiria 132......wakati Dreamliner ni 262 wewe hayo maelezo unayatoa wapi.....acha kuzusha maneno maneno tu yasiyo na tija yoyote
We mdada huwa unajibu kwaukali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom