Serikali ya awamu ya tano imenirejeshea nidhamu

Serikali ya awamu ya tano imenirejeshea nidhamu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,065
Reaction score
61,397
Pongezi kwa hii serikali, hii ndo Serikali sasa kumbe bwana sio katika maofisi pekee ambapo nidhamu imerejea Mimi mwenyewe Ni shuhuda toka Magufuli aingie nimejifunza mengi mazuri,ile kujengewa roho ya uzalendo imenifanya niwe na nidhamu binafsi.

Zamani enzi za Kikwete nilikuwa mlevi sana,nilikuwa naongea pumba sana nilikuwa na matumizi mabovu ya pesa,nilikuwa situlii nyumbani,nilikuwa sifanyi mazoezi,nilikuwa napotea kwenye umalaya,lakini kwa Sasa nimenyooka kwani japokuwa sina pesa lakini nina imani kubwa.

Natumaini sio peke yangu Bali mamilioni ya vijana wenzangu wa kitanzania tukimsikia Magufuli anavyoongea kwa hisia kwenye hotuba zake tunaamua kuingia chumbani na kufanya maombi kuungana na watanzania wote Wapenda maendeleo na amani.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Ahsante kwa kutujuza kuwa kama sio serikali tukuka ya awamu ya tano... inawezekana ungeweza kuwa SHOGA.

Ngoja sisi tuendelee kumshukuru MUNGU kwa kutufikisha hapa tulipo.

OLE wao wamwabuduo na kumsujudu mwanadamu....
 
Ahsante kwa kutujuza kuwa kama sio serikali tukuka ya awamu ya tano... inawezekana ungeweza kuwa SHOGA.

Ngoja sisi tuendelee kumshukuru MUNGU kwa kutufikisha hapa tulipo.

OLE wao wamwabuduo na kumsujudu mwanadamu....
Ninachokijua Ni kwamba nikifa awamu hii lazima niende mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmmh napita tu [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

#WAHUNI SIO WATU WAZURI
 
Back
Top Bottom