Ya Mara corp. 1997 yasijirudie popote

Ya Mara corp. 1997 yasijirudie popote

MANYORI Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2012
Posts
462
Reaction score
343
Habari za wakati huu wana Jf.
Kama ni wakaazi wa Mkoa wa Mara au wafuatiliaji wa mambo ya hapa nchini mnakumbuka pasipo shaka kilichofanywa na shirika la letu la Mara corporation(MARA CORP.) mwaka 1997 pale lilipowakopa wakulima wa pamba pamba zao.

Pana uncle ambaye ni mhanga,ameniambia wahanga hawakulipwa na hawajawahi kulipwa pesa zao zilizokuwa ni haki yao kabisa.

Kilichonisukuma nilikumbuke hili ni haya mazingira yetu na mwenendo wetu katika hili linalotukabili kama taifa na kama wakulima.

Chonde chonde ndugu zangu,kudai pesa ni matatizo kuliko kufanya kazi.Waulizeni Tii Araa Eii wanaujua muziki wa kudai pesa na wakati mwingine hulazimika kuomba sapoti ya ulinzi maana ni mziki mnene.
 
Wewe unamkumbuka Mnema?...huyu ni kielelezo kwa mchwa wanaoshambulia vyama vya ushirika!
 
Tufukue kaburi ili maiti awalipe walio hai
 
Yameshajirudia.Hotuba ya jana inatosha kuyarudia.Mwafwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom