WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa orodha ya magonjwa 10 yaliochangia vifo kwa kiasi kikubwa kwa mwaka 2018, huku homa ya mapafu ikiongoza kwa mwaka wa pili...
Kutokana na maelezo moja ya wafanyakazi, inadaiwa kuwa zoezi hili si mara ya kwanza na inasemekana zaidi ya wafanyakazi 550 wamefukuzwa ndani ya kampuni kutoka mwezi September 2017.
Mpaka sasa...
Binadamu ana wastani wa dhambi 3 kila siku za matendo,maneno na kutotimiza wajibu wake...
Hii ni minimum wengi wanazidi hapo,sasa katika imani zetu tunaamini kuna pepo baada ya hukumu ya matendo...
Mwaka 2014 ilitangazwa kuwa bwana Timothy Ray Brown raia wa Marekani alikuwa amepona UKIMWI. Hakuwa na maambukizi tena ya HIV.
Timothy alipata tiba ya kupandikizwa uboho mpya (bone marrow) kutoka...
Wasalaam....
Hope wote mko njema.
To the topic
Nimekua nikipita humu kuona thread kadha wa kadha kuhusiana na matumizi ya viumbe hao wasio onekana i.e. Majini katika kutusaidia katika mambo yetu...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kuna wanawake wameanzisha vibaaar kwenye vifrem vyao, sasa wanakera Sana na kuwaomba Wateja bia utakuta anatoka home kwake anaenda kushinda kwenye...
Hakika kama yasemavyo maandiko kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa ya kuja kwake mwana wa Adamu(Yesu/kristo),
Je kama yesu ndio anarudi duniani sasa hivi wewe atakukuta unafanya nini?
Mi...
Habarini za asubuhi wana jf.kwa kweli nimekuwa nikiona hili jambo lina hatari zaidi.kutokana na ubalisia wake unaojionesha.ni suala zima la hivi vyama kama vile CCM,CHADEMA,CUF n.k.hivi vyama...
“MIZIMU KAMA CHANZO CHA MATATIZO”
Duniani yapo matatizo ya aina mbalimbali, matatizo hayo yote yana namna ya kuyaondoa. Unapokuwa umekosea namna ya kuliondoa tatizo lililokupata unaweza ukajikuta...
Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...
Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na...
Baba mzazi wa mwanasheria mkuu wa serikali,Alderius Kilangi Lubango,amefariki dunia mchana leo katika hospital ya wilaya ya Sengerema.R.I.P Mzee Lubango.niliongea na mtoto wa marehemu ambae ni...
Habarini ndugu Wewe kama mdau wa jamii forum unatoa maoni gani kuhusu vitendo vya ugaidi unaoendelea nchi jirani yakenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha mapinduzi (CCM) chini ya uongozi makini kina zidi kuji imarisha katika kampeni zake mbalimbali hapa nchini na Nje ya Nchi...
Za nje ya nchi tuta kuja nazo siku nyingine...
Sent using...
Monday, March 17, 2014 AFYA No comments
Huu hapa ubunifu wa usafiri rahisi kwa huduma ya afya, yaani kusafirishia mgonjwa kutoka eneo moja kwenda jingine kwaajili ya kupata matibabu. Made...
Wakuu habari ya kwenu napenda niwasalimu wote kwa jina la alieumba Mbingu na Nchi
Kama kichwa cha habari kisemavyo dola ya Rumi itarejea tena
Sote tunajua zilipita Dola kadhaa zenye nguvu kubwa...
Aliekua balozi wa yemen nchini Tanzania mwaka 1976 hadi 1983 amefariki leo hii tareh 18/1/2019 nchini yemen mkoa wa almahra.
Poleni ndugu wote na fmly wa Marhemu.
Inna lil Allah wainnaa illihi...
Comrades kwann uzi unaomuhusu bernad membe na zito kabwe ambao umo humu umefungwa una nini cha ajabu mpk wameupiga pini
Ukiuklik yanakuja Yale maneno ya kuudhi zaidi jf ooooooooops...
Aliekua balozi wa yemen mwaka 1976 hadi 1983 amefariki leo hii tareh 18/1/2019 nchini yemen mkoa wa almahra.
Poleni ndugu & fmly ya Marhemu.
Inna lil Allah wainnaa illihi raajiun
Sent using...
hivi ninani ambaye hajawahi kupitia hatua hii wewe kama nimwanaume mwenye zaidi ya miaka 25 hukupitia hapa bado hujakamilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewasogezeaa karibu jinsi hali ya ndugu zetu wakenya inavyoendeleaa....
Usisahaau kutoa maoni yako video iko hapo chini
Sent using Jamii Forums mobile app