Naomba nitofautiane na Mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusu swala LA uzalendo
Uzalendo kwa taifa Sio swala LA kuombwa nimesikia Mara kadhaa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
Zitto alipata kuuliza maswali juu ya ndege kuchelewa kufika... nazani ilikuwa ziwahi kufika ili aweze kupata huduma ya ndege hizo...
hakuwa na nia mbaya... na sasa ana faidi huduma ya ndege...
Ni wimbo mpya alioutoa kufuatia sekeseke linaloendelea ambapo kuna hatari ikawa ndio mwisho wa career yake ya muziki.
Ukisoma kwa makini mashairi ya wimbo huu, utagundua kwamba R. Kelly anaamini...
Ndugu wana jf. Salamu kwenu. Niende kwenye mada. Leo jumamosi tarehe 19. 01. 2019 nilipanda basi LA AL SAEDY lenye namba T 990 DGZ kutoka morogoro kwenda dar es salaam. Mnamo saa 10 alasiri basi...
Je ni wakati gani kati ya haya yafuatayo ambapo huwa unijiskia raha unayoijua mwenyewe pale uposafiri na ndege?
1. Pale unapofika airport na kuwatazama wale wasindikizaji wanapokuangalia...
Salaam wanajamiiforum kwa ujumla
Naomba nitumie njia hii kutafuta kazi
Sifa zangu
Elimu,, chuo kikuu (shahada ya elimu masomo ya sayansi)
Miaka,,26
Jinsi,, me
Mawasiliano ,, lupene2006@gmail.com...
Walimu wa shule za msingi na sekondari za umma mkoani Dar es Salaam wataanza kusafiri bure kwenye daladala kuanzia tarehe 7 Machi 2016.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paulo Makonda na viongozi wa...
Ndugu zangu wana Forum wenzangu,
Nimekua nikifuatilia mijadala hapa kumuhusu Mh. Lissu hapa jukwaani, Inisikitisha sana tena sana mijadala ya vijana wetu. wengi wamediriki kuhoji uzalendo wake...
Ndoto zingine mmmm!
Kama unaamini kuna Mungu basi ni dhahiri unaamini kwamba kuna shetani na malaika zake kama vile mapepo, majini, vinyamkela (hata wazungu wana majini na mapepo yao kama...
Vitu vingine ni ridiculous, yaani ile barabara ya kutokea pale round about na kukunja kona kuelekea bandarini na hatimaye daraja la Kigamboni ni nyembamba kama uchochoro wa vingunguti kwa mkodisha...
Kitambaa cha kweli hakiwezi kuyachoka
machozi na jasho lako paleunapoamua kufanya
kweli katika maisha..
Pambana usiku na mchana kuhakikisha maisha
yako yanakuwa bora zaidi ya jana.
Kumbuka...
Kwa kifupi wabunge wa bunge la JMT hujitungia sheria dhafu dhaifu ambazo zinatoa mwanya wa mbunge kufanya KAZI zao kwa ulegevu pamoja na utoro mwingi Bungeni yaani hata usipoonekana mwaka mzima...
Je umewahi kujiuliza ni hujuma gani Mungu pamoja na shetani kwa pamoja wanaipanga dhidi yako?
Imani inasema Mungu anatupenda, anatujali na anatuthamini. Lakini je hua unajiuliza Mungu na shetani...
WADAU wa Muswada wa Sheria wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA), wameshauri Jeshi la Polisi lisihusike na kukagua magari badala yake jukumu hilo liachiwe mikononi mwa mamlaka hiyo...
Kusimamishwa na trafiki barabarani, na ukawa huna leseni mfukoni kwa muda huo sio kosa. Mwambie huyo trafiki kuwa hilo sio kosa. Sheria inatutaka kutembea na leseni tunapoendesha vyombo vya moto...
Juzi nimerudi kutoka Pakistan
Leo nikawa naelekea mbezi kwa nigga wangu mmoja hivi, nafika pale ubungo naona Kuna ujenzi wa barabara mpya cha kusikitisha tenda inasimamiwa na mchina
Hivi...
Kwa niaba ya wakazi wa mkoa wa Iringa na Nyanda za juu kusini.
Pamoja na kuwa na uhitaji mkubwa wa usafiri wa ndege mkoa huu kwa muda mrefu sasa tumekosa hii huduma.
Wito wangu kwenu. Hapa Iringa...