Zitto: Raha kupanda ndege za ATCL...

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
8,235
8,712
Zitto alipata kuuliza maswali juu ya ndege kuchelewa kufika... nazani ilikuwa ziwahi kufika ili aweze kupata huduma ya ndege hizo...

hakuwa na nia mbaya... na sasa ana faidi huduma ya ndege husika...

safi sana...
matokeochanya___BX2J-84hTTg___.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa inamfanya mpaka msomi anayeheshimika kusema uongo.Kwa kutaka kuonyesha nguvu ya anachokiamini, anaweza hata kuuza watu wanaomfuata,
Sijaelewa lile sakata la Dreamliner liliishaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naamini hakuna anayepinga uwepo wa shirika letu ATCL. Bali namna zilivyonunuliwa ndege hizo na vipaumbele vyetu. Pili fedha zilizotumika kuzinunua ni mali ya umma, sioni kwanini Zitto azodolewe ?!

Wanaomzodoa Zitto ni wale waliozoea kulishwa matango pori. Hawaelewi kuwa kuna OPPORTUNITY COST kwa nchi yetu kuzinunua hizo ndege kwa pesa taslimu; na utaratibu wote wa kuzinunua kwa mkupuo!
 
Professor Makame Mbarawa kajibu kistaarabu sana. Ingelikuwa wakolomije Bashite na Jiwe sijui kama kugekalika huko Twitter.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom