Mliowahi kutumia hizi sufuria zinavuja?

Mliowahi kutumia hizi sufuria zinavuja?

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,475
Reaction score
11,674
Ni za kupikia keki.. Nilimuuliza muuzaji online akanionyesha anazo hizo.. Nlichagua sababu zina maumbo tofauti. Basi kimbembe nlipoamua kueka mixture ya keki.inaleak taratiibu huku pembezoni.. Inavuja.
Nkajaribu nyingine nazo hivohivo
Sasa ndo ugeni wangu au?
Labda nakosea kutumia..
IMG-20190119-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1000362

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mjuzi wala sijawahi kutumia hiyo ...ila kwa mtindo huo tu umepigwa pesa mama ...haiwezekani sufuria ziwe na mtindo wa kuvuja utapikaje sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, pole sana na sidhani kama umekosea kwenye utumiaji. Zina hitilafu! Piga picha za zufuria zikifuja na wapelekee mwuuzaaji pamoja na mtengenezaji. Watiishe kwamba utawashitaki kama wakikataa kubadilisha. Ukikwama, waulize mafundi kama inawezekana kufanya welding sehemu zinazofuja??!
 
Mkuu ndo namtafuta ananipotezea... Wtsap hajibu. Msg hajibu..
Mkuu, pole sana na sidhani kama umekosea kwenye utumiaji. Zina hitilafu! Piga picha za zufuria zikifuja na wapelekee mwuuzaaji pamoja na mtengenezaji. Watiishe kwamba utawashitaki kama wakikataa kubadilisha. Ukikwama, waulize mafundi kama inawezekana kufanya welding sehemu zinazofuja??!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta parchment paper....(baking paper)
Unapaswa ku line hizo tins kwanza kabla hujamimina mchanganyiko wako wa keki.
Wewe sasa ndo unajua. Nimeamua kugoole. wanasema nipitieshe aluminium foil kwanza kama mchanagnyiko wangu mwepesi unaleak.
Ila tatizo za qafanyabishara wa kitanzania wanajiagizia tu madude huko ilhali hata kumsaidia mteja akikwama hawajui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe sasa ndo unajua. Nimeamua kugoole. wanasema nipitieshe aluminium foil kwanza kama mchanagnyiko wangu mwepesi unaleak.
Ila tatizo za qafanyabishara wa kitanzania wanajiagizia tu madude huko ilhali hata kumsaidia mteja akikwama hawajui.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana.
Tunajifunza kila siku lakini. ...
Jaribu hizo njia ulizopata google...tuje kula keki[emoji512][emoji512][emoji513][emoji513]
 
Back
Top Bottom