Habari waJF
moja kwa moja niende kwenye mada ya jinsi athari za matumizi mabaya ya mitandao yanavyoweza kukukosesha fursa.
Vijana tulio wengi tunakosa ajira au fursa mara nyingine kila unapoitwa...
Najaribu Kuandika Nashindwa!!!Nakosa Nguvu ila Nitaandika machache kuhusu tukio hili lililofanywa na Viongozi wetu wa Ulinzi na Usalama (#Jeshi_la_Police)
Tarehe 20/12/2018 Jeshi la Police...
Embu tupeane uzoefu juu ya maisha haya. Muda mwingi nikiyafikiria nayaona matamu na yanaweza kukutengenezea hadithi ndeefu yanye furaha. Kwa mfano ukae mitaa ya tandale, keko, manzese...
Nawatakia asubuhi njema na siku njema.
Binafsi dini yangu ni uislamu na nimezaliwa humo na nimekulia humo na nitafia umo(Ammen).
Hivi majuzi kuna askofu fulani hapa Tanzania ambae sio mgeni...
Kwa Siku za hivi karibuni nimegundua kuwa Tanzania nayo ni nchi ambayo ina Viongozi wa Dini wengi na mbalimbali ambao ukiachilia mbali kuwa katika Makanisa na Misikiti yao lakini pia huwa...
MVUA kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali imeharibu zaidi ya ekari 300 za mazao ya pamba, mahindi, mtama na choroko katika Kijiji cha Kilalo, Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu.
Mvua hiyo...
Taasisi ya tiba ya Mifupa MOI imeanzisha huduma ya kutoa dawa za usingizi (Reginal block Anaesthesia) ambapo eneo husika linalofanyiwa upasuaji ndilo litakolo husika kwa kuzuia mishipa ya fahamu...
Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la hisani la kimataifa la Oxfam, inaonyesha kuwa mabilionea 26 duniani wanamiliki utajiri ulio sawa na nusu ya binadamu maskini zaidi duniani, na kutaka matajiri...
Kutuambia tuachane na uzazi wa mpango na tufyatuane tu. Ulichukua jukumu la kuchonga madawati ukatuambia sasa kazi yako umemaliza umetuachia tutekeleze jukumu letu.
Wewe mwenyewe umefanya...
JAMANI SAMAHANI KIDOGO NAJUA KUNA WAJUZI KIDOGO KWENYE HILI Hivi kwenye Operation za kutuliza Amani sehemu kama Kongo Au somalia chini ya UN hivi Kati JW na POLIS anaehusika zaidi ni nani? au...
Kanisa la TFE Kwaneema la jijini Mwanza lateketea kwa moto usiku huu majira ya saa 7:00 usiku
Tunaomba ukweli wa hii habari
Sent from my iPhone using JamiiForums
Shalom Shalom.
Nategemea kuja huko wikend hii. Naomba mtu anaejua maeneo yenye kanisa lenye upako anielekeze ili nikajumuike siku siku ya Jumapili.
Mbarikiwe wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejihangaisha kutafuta maana ya 'fenti fodi' niliyoiona kwa mara ya kwanza humu JF, bila mafanikio. Mnaoelewa maana yake naomba mnielimishe. Sijisikii vizuri kuliona neno halafu nisiiijue maana...
WAHAMIAJI haramu 35 kati ya 81 wamekamatwa wakiuza pipi, karanga na kahawa na kujifanya machinga. Akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake, Kaimu Afisa Uhamiaji mkoa wa Dar es Salaam...
Pole na Majukumu kiongozi wangu.
Dhumuni la kukuandikia sms hii ni kutaka kukujulisha yale yanayoendelea pale gerezani stendi ya mabasi.
Pale kuna zoezi la ukamataji kwa wale watu ambao...
Habar za wikienda wana-jamvi!
Mda huu nipo kwenye gari naelekea makongo. Ghafla nimepitiwa na wazo ambalo kwa jinsi flan nahis sio zuri ku share. Lakin nikaona wazo hili pia linaweza likawa...
Ni kocha mzuri Lakini kuna baadhi ya misimamo yake ina walakini bado hajachelewa kuitafakari kwa faida yake na Mpira wa Yanga
Sent using Jamii Forums mobile app