Simanjiro waanza ujenzi wa hospitali ya wilaya, wajipanga kuikamilisha mapema kuondokana na adha kutembea umbali mrefu kusaka huduma hiyo

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
Hivi karibuni Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo, akiwa kwenye ziara ya Makamu wa Rais Wilayani Simanjiro, alielekeza uongozi wa wilaya ya Simanjiro kuanza ujenzi wa hospitali ya Wilaya.

Agizo hili limeanza kutekelezwa baada ya mamia ya wananchi kujitokeza kuanza kuchimba msingi kwa maelekezo ya uongozi wa Wilaya.

Kwa mujibu wa uongozi wa wilaya wameeleza kuwa wamejipanga vyema kuhakikisha ujenzi huo unakamilika mapema ili wananchi waondokane na adha ya kurltembea umbali mrefu kusaka huduma

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20190123-WA0016.jpg
    IMG-20190123-WA0016.jpg
    102.8 KB · Views: 14
  • IMG-20190123-WA0011.jpg
    IMG-20190123-WA0011.jpg
    109.8 KB · Views: 14
  • IMG-20190123-WA0019.jpg
    IMG-20190123-WA0019.jpg
    112 KB · Views: 13
Back
Top Bottom