Shule ya 'Must Lead' ni janga inawabambikizia Wazazi madeni

Sungura dume

JF-Expert Member
Mar 28, 2016
562
502
Kama Serikali inafuatilia elimu kwa kina na pasipo ubaguzi hii shule ya Must Lead iliyopo Msata Masuguru ina nyanyasa sana sisi wazazi

Kuna mtu anaitwa ticha ndege na somebody madam Anna wamefanya hii shule kama si international yani wanabambika madeni mpaka mzazi unajuta.

Jamani tunajua msata hakuna shule za international isipokuwa huyo lakini isiwe chanzo cha unyanyasaji huu.

Mwenye shule kwa jina maarufu Peter Nkufya angalia hao watu wataaribu brand Image ya shule yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule ina utaratibu kuwa mwanafunzi asipolipa ada ya usafiri anaachwa lakini hii shule inabambika madeni ya usafiri mpaka inachosha na wakati umelipa usafiri cha kujiukizaa ni kwamba ukishapeleka pay slip za bank wanajifanya kujisahaulusha kutoa risit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlishaambiwa mpeleke malalamiko kwenye mamlaka husika mfano kwa RAS.

Hapa jf hutapata msaada unaohitaji.
 
Back
Top Bottom