Je, ni sahihi kwa dereva wa lorry kumbamiza mwendesha baiskeli kisa side mirror?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,054
40,715
Je huyu dereva wa lorry alikuwa ana haki ya kujaribu kumuua huyu mwendesha baiskeli kisa hasira?

 
Umama at first place una madhara makubwa sana,naye dereva alibabua side mirro kwanini??
 
Sema kuendesha bicycle barabara kubwa inataka moyo,,Lori likikupita kama ni kimbaumbau kama Mimi linaweza kukupuliza na upepo ukadondoka mtaroni
 
Back
Top Bottom