Nimekunywa maji ya Kampuni ya Afya, nadhani sio halisi wahusika fuatilieni

Ova

Member
Feb 18, 2017
46
31
Nadhani wahusika wa TBS wako humu jamvini

Napenda sana maji ya Afya ila leo asubuhi nilinunua maji kampuni ya Afya katika duka moja tandika, nilianza kuyatilia mashaka kabla sijayanywa kutokana na chupa yenyewe haina ubora ni laini mno tofauti na nilivyozoea.

Nilifungua chupa na kuyanywa yana harufu kama ya sabuni na ladha yake sio nzuri na baada ya nusu saa kupita nimeanza kujisikia vibaya, macho na kichwa kinauma naomba wahusika mfuatilie wananchi mtatumaliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani wahusika wa TBS wako humu jamvini,Napenda sana maji ya Afya ila leo asubuhi nilinunua maji kampuni ya Afya katika duka moja tandika,nilianza kuyatilia mashaka kabla sijayanywa kutokana na chupa yenyewe haina ubora ni laini mno tofauti na nilivyozoea.Nilifungua chupa na kuyanywa yana harufu kama ya sabuni na ladha yake sio nzuri na baada ya nusu saa kupita nimeanza kujisikia vibaya,macho na kichwa kinauma naomba wahusika mfuatilie wananchi mtatumaliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yatunze kwa ushahidi
 
Kiukweli binafsi nilikuwa nikiyanywa sana hayo maji kwanza kutokana na unafuu wa bei yake kwa kulinganisha na wingi wa maji kwenye chupa. Ila kama mara tano hivi ilinitokea ninaponunua na kunywa kiasi kisha kuyahifadhi kwa masaa machache ninapoyarudia ili kuyamalizia yanakuwa yanatoa harufu fulani hivi isiyopendeza. Hadi ilibidi nimwite mtu mwingine mara mbili ili kushuhudia hali hiyo na baada ya hapo nikaamua kuachana nayo jumla. Sijajua tatizo hasa lilikuwa ni nini kama inategemea batch na batch, hujuma kutoka kwa washindani wao kibiashara au kuna watu wameanza kuyatengeneza mitaani.
 
Nadhani wahusika wa TBS wako humu jamvini,Napenda sana maji ya Afya ila leo asubuhi nilinunua maji kampuni ya Afya katika duka moja tandika,nilianza kuyatilia mashaka kabla sijayanywa kutokana na chupa yenyewe haina ubora ni laini mno tofauti na nilivyozoea.Nilifungua chupa na kuyanywa yana harufu kama ya sabuni na ladha yake sio nzuri na baada ya nusu saa kupita nimeanza kujisikia vibaya,macho na kichwa kinauma naomba wahusika mfuatilie wananchi mtatumaliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Ova, tafadhali tuwasiliane inbox ili tuweze kyapata hayo maji na kuyafanyia tathmini, kwa sababu tunaweza kuyapima na kubaini kama kuna tatizo ili lifanyiwe kazi. tafadhali tuwasiliane.....mzenji2019@hotmail.com
 
1548228708053.png
 
Kunywa hillwater hayo mengine ujanja ujanja mwingi hasa kwa maeneo ya wilaya ya Temeke
Kweli mkuu nina kubaliana na wewe hill niliyaacha kwenye kausafiri kangu week kama mbili nimeyanywa jana bado yalikuwa poa!! Na nina park kwenye jua kali! Ila sijuwi kama wataweza endelea hivyo inaonekana ni Brand mpya sokoni au me ndio sikuwahi yaona nimeanza kuya tumia nadhani kuanzia mwaka jana mwezi wa 12 au 11 Nilikuwa nikitumia Afya ila ata leo nimekunywa afya sijaona tofauti sana ila hill mazuri zaidi!
 
Upo sahihi pia kuna kampuni za maji ni easy kuchakachua maji yao mfano hao afya nshawahi ona jinsi ujanja unaofanywa mtaani, na hili tatzo lipo kwa ukubwa sana maeneo ya wilaya ya Temeke ila sehemu zingine sjaona huo ujinga
 
Back
Top Bottom