Tunaposhangilia Stiegler's Gorge tusome hapa

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,636
8,774
Umeme wa maji sio teknolojia mpya. Ilishafanyika siku nyingi tu hapa na mahali pengine duniani. Uchafuzi wa mazingira ni kitu kisichoepukika (kuna kipindi tuliambiwa bwawa la Mtera limejaa udongo na hivyo kusababisha kina chake -na hivyo uzalishaji umeme - kupungua). Tuliambiwa pia kuwa kuuondoa ni kazi kubwa yenye gharama kubwa hasa.

Someni article hiyo hapo chini.

Large hydropower dams 'not sustainable'
 
Ukweli ni kuwa hakuna jambo lisilo na pande mbili: Fada na Hasara. Mabwawa yaliyojengwa miaka ya 60 miaka ya 2018 yakionekana kuleta hasara ni jambo linaloelezeka. Watuache tujenga sasa hata km miaka 3,000 hasara itaanza kujitokeza. Tutakuwa tumeshafaidika kwa kutosha.
 
Toa solution basi ya tanzania kuwa na umeme wa uhakika
Sioni kama kuna mbadala kwa Tanzania, labla tuwekeze kwenye umeme wa nguvu za upepo, Mwisho wa mwaka 2009 takriban asilimia 1.3 ya mahitaji ya umeme duniani yalipatikana kwa umeme wa upepo. Lakini nchi kadhaa zilizotangulia kuendesha teknolojia hii zinapata kiasi kikubwa zaidi.

Nchi inayopata kiwango kikubwa cha mahitaji yake ya umeme ni Denmark yenye asilimia 20 za umeme wa upepo.

Katika Hispania ni 11% na 9% katika Eire.

Mnamo mwaka 2015 nchi ya Denmark ilizalisha asilimia 40% ya umeme wake kwa njia ya umeme wa upepo

Angalau nchi 83 duniani zinaingiza umeme kutokana na matumizi ya nguvu ya upepo katika mitandao ya umeme ya kitaifa.

Mnamo mwaka 2014 umeme wa upepo ulifikia tayari asilimia 4 za umeme wote uliotumiwa duniani.

Katika Umoja wa Ulaya kiasi hiki kilifijia tayari asilimia 11.4 Katika Afrika ni hasa Afrika Kusini iliyoanza kutumia chanzo hiki cha nishati.

Nchini Kenya Mradi wa umeme wa upepo wa Ziwa Turkana ulianzishwa mwaka 2010 ukilenga kutoa megawati 300 baada ya kukamilika
 
Kuna mwanga wa jua wa uhakika karibu nchi nzima, bado upepo na mvuke.
 
Umeme wa maji sio teknolojia mpya. Ilishafanyika siku nyingi tu hapa na mahali pengine duniani. Uchafuzi wa mazingira ni kitu kisichoepukika (kuna kipindi tuliambiwa bwawa la Mtera limejaa udongo na hivyo kusababisha kina chake -na hivyo uzalishaji umeme - kupungua). Tuliambiwa pia kuwa kuuondoa ni kazi kubwa yenye gharama kubwa hasa.

Someni article hiyo hapo chini.

Large hydropower dams 'not sustainable'
Hayo matope kujaa ilikua mbinu ya wapiga dili ku justify wao kuleta generators na madili yao mengine yote machafu.

Stieglers kutakua na watu wa kuzoa tope 24/7. Muacha Magufuli ajenge mradi wetu wenyewe
 
Hakuna kitu kitadumu milele, hivyo wakosoaji huwa wapo tu. Hata wana wa israel walivyotoka misri kuna kipindi walitamani kurudi misri na wakamlaumu musa sana
 
Hivi Uranium ile kwanini tusiiwekee mipango hata kama ni ya muda mrefu.
Sawa handling ni shida lakini inawezekana.
 
Jiwe yuko tayari hata damu ya mtu imwagike ili tu ajenge hili bwawa.
Yeye ndiye mwamuzi mkuu ,wizara zote kaziweka mfukoni.
 
Back
Top Bottom