NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 1,001
Msaidizi wa Asikofu Malasusa: ameongea kitu cha mbolea sana katika watumishi wote walioalikwa na muheshimiwa Rais leo ,
Mvua nyingi sana zinazonyesha nchi hii tungeweka BWAWA KUBWA KILA WILAYA na kuvuna maji kila mvua inaponyesha nchi hii ingekuwa NOMA SANA ktk ukanda huu wa mashariki.
AMETOLEA MFANO NCHI YA BOTSWANA AMBAO MAJI YAKE YOTE YA MVUA YANAVUNWA NA KUSAIDIA KATIKA MAENDELEO YA NCHI.
wahusika katika kukuza uchumi hebu lichukueni hili na kuwa chanzo cha kuondoa umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana.
-Kwa maana vijana
Watavua samaki
-Maji hayo yatamwagilia katika mashamba
N.k
Sent using Jamii Forums mobile app