Natoka safarini Dar naelekea Tanga nikiwa na rafiki yangu jina anaitwa Maalim(Si jina halisi),
katikati ya safari gari inasimama nashuka,
Wakati huo maalim hakushuka! nikiwa narudi kwenye basi...
Imekuwa kama ni kawaida sasa katika mitaa ya Nyasaka wilaya Ilemela mkoa wa Mwanza kuzungumuzia vibaka kwani hakuna ambaye hawajamwingilia katika maeneo hayo
Huku uongozi ukionekana kutochukua...
BUNDI ni aina ya ndege ambaye hula nyama; hufanya mawindo yao wakati wa usiku na kupumzika wakati wa mchana.
Pamekuwepo na imani kwa wengi kwamba bundi anaponekana nyumbani kwa mtu ni...
Kutokana na kuota kwa maghorofa mengi kariakoo na maeneo mbalimbali. Nikaambiwa na mdau mmoja siri ya kuoteshwa maghorofa hayo kariakoo. Anaripoti ndugu yetu...
Juzi moja nilipokuwa nikijadili...
Baada ya matokeo ya mtihani wa kidat cha nne yaliyotoka mwezi huu wa kwanza 2019 nimebaki na maswali kadha wa kadha kama ifuatavyo....
a] Kwa nini shule za wamiliki binafsi zimeshika namba 1 hadi...
```*VODA KAMA MMETUCHOKA WANA CHUO MTUAMBIE*
Habari ziwafikie popote mlipo........
Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni...
Kuna fununu kwamba kuna wabunge/viongozi wanataka kujizolea ujiko kwa kuwa watu wa kwanza kufikisha janga la kamari bungeni ili lijadiliwe na athari zake kuwekwa bayana. Mwenye taarifa zaidi...
Nataka kujua, mwenye kujua aweze kunijuza
Kabla ya hizi passport mpya kuletwa,kulikua na zile za zamani sasa je kama bado unayo ile ya zamani na mda wake bado haujafika kikomo kuisha,unaweza...
Wiki mbili zilizopita waziri mkuu alikutana na bodi mpya ya mishahara na moja kati ya mambo ambayo bodi inayafanyia kazi ni mashirika na taasisi za umma kujipangia mishahara hali iliyopelekea kuwa...
Haijawahi kutokea lkn kwa mara ya kwanza Rais JPM ameweza kumteua Hakimu hadi kushika nafasi ya Ujaji....hii inaonyesha wazi kuwa Rais wetu yuko macho na makini sana!! Zamani nafasi za uteuzi kama...
Huyu binti wa kikurya namtafuta sanaa alikuwa rafiki yangu kipenzi kweli kweli.
Binti mwenye mwanya , akicheka anakuwa kama anaona aibu hivi.
Yaani enzi hizo siku ilikuwa haipiti bila kuonana...
Asubuhi hii baada ya kumpeleka mtoto shule nikapokea ujumbe huu wa simu:
"Habari ya saa hii mzazi uongozi wa shule tunapenda kukujulisha kwamba mwanao amepatwa na tatizo la ghafla huku shuleni...
Kuna mabadiliko katika mfumo wa kuomba au kurenew leseni za usafiri wa nchi kavu (kwa magari ya biashara) na mfumo huo mpya unahusisha kujisajiri mtandaoni katika tovuti ya sumatra.
Lakini...
Jamani nifanye nn ili niweze kuacha kubet kwasababu mm imekuwa ni zaidi ya madawa
ya Makonda.
Yaani nisipo lala na mkeka ata usingizi sipati nitaangaika sana nakuta nawakopa paka voda m pawa...
Mtajwa hapo juu namtafuta,tulikuwa wote Kibaha mwaka 1999-2001.
Najua huko ulipo unaendelea na biz zako na familia yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkurugenzi wa Shirika linalojishughulisha na masuala ya Kijamii nchini (CCI) Tim Ndezi akiwakaribisha wageni kutoka nchini Kenya waliofika Tanzania kwa ajili ya kujifunza masuala mbali mbali...
Si mbaya kuuliza hasa kwa wakati huu tuko na jemedari wetu mh raisi jpmna mh makonda wa dsr es salam kuhakikisha dar inawala inatakata kila njia
Kuna hii njis ya mugabe kuelekea kituo cha...
"THE LAW OF SUBSTITUTION "
Vyura sita walikua wanatembea kwa kuruka ruka kwenye gogo kubwa lililowekwa juu ya shimo lilichimbwa na binadamu.Bahati mbaya vyura wawili wakatumbukia kwenye shimo...