Jihadhari na ugonjwa wa "excusitis-the disease of finding excuses"

Eliah Geofrey Kamwela

Verified Member
Dec 30, 2018
168
500
Jihadhari na ugonjwa wa "excusitis-the disease of finding excuses"
Ni Ugonjwa unao pelekea kushindwa katika maeneo yote ya maisha.
Dalili Kuu ya ugonjwa huu ni kutafuta visingizio kwanini mtu yupo alivyo.
Atasingizia Ufisadi, Serikali, Ccm, Wazazi n.k.
Ukitaka Ujue mbaya wa maisha yako anaye kwamisha maendeleo yako,chukua kioo,utamuona!
Shida hapa si 'ukweli' wa excuses, tatizo ni kwamba kulalamika kunaua uwezo wa ubongo kutafuta suluhu.
Kulalamika ni kama matumizi ya dawa za kulevya, huanza kidogo kidogo na kukufqnya ujisikie vizuri pale unapo lalamika kwani unahamisha wajibu wa matatizo yako kwa mlalamikiwa. Tatizo ukizoea inafikia wakati, unashindwa kutatua changamoto zaidi ya kunyoosha kidole kwa 'wale' na kuwashangaa wasio lalamika japo kidogo tu!
Chagua kutolalamika na kuchukua majibu wa ku solve mambo yako. Katika tatizo lolote angalia kwa makini 'ni vipi Mimi nimesababisha hili' kabla ya kuangalia 'nani kanisababishia hili'.
Wakati mwema.
 
Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
7,626
2,000
Uko sahihi mkuu! hiyo kisaikolojia inaitwa Projection defence mechanism!

Mtu anajivua wajibu wa majukumu yake na kulaumu wengine kuwa ndiyo wanamkwamisha kutimiza mambo yake binafsi.
Mfano: Mtu analalamika kuwa hawezi kuendelea kiuchumi kwa sababu ya Magufuli.
Jihadhari na ugonjwa wa "excusitis-the disease of finding excuses"
Ni Ugonjwa unao pelekea kushindwa katika maeneo yote ya maisha.
Dalili Kuu ya ugonjwa huu ni kutafuta visingizio kwanini mtu yupo alivyo.
Atasingizia Ufisadi, Serikali, Ccm, Wazazi n.k.
Ukitaka Ujue mbaya wa maisha yako anaye kwamisha maendeleo yako,chukua kioo,utamuona!
Shida hapa si 'ukweli' wa excuses, tatizo ni kwamba kulalamika kunaua uwezo wa ubongo kutafuta suluhu.
Kulalamika ni kama matumizi ya dawa za kulevya, huanza kidogo kidogo na kukufqnya ujisikie vizuri pale unapo lalamika kwani unahamisha wajibu wa matatizo yako kwa mlalamikiwa. Tatizo ukizoea inafikia wakati, unashindwa kutatua changamoto zaidi ya kunyoosha kidole kwa 'wale' na kuwashangaa wasio lalamika japo kidogo tu!
Chagua kutolalamika na kuchukua majibu wa ku solve mambo yako. Katika tatizo lolote angalia kwa makini 'ni vipi Mimi nimesababisha hili' kabla ya kuangalia 'nani kanisababishia hili'.
Wakati mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom