Huyu bibi kwa kweli amenipa moyo sana

Huyu bibi kwa kweli amenipa moyo sana

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
13,112
Reaction score
38,738
Ukimsikiliza kwa makini utagundua ni mtu anayefanya kazi yake kwa moyo akiwa na ari tofauti na sisi vijana wa sasa, tumejawa na malalamiko na udhaifu mkubwa sana kwenye utendaji wetu.

Ni bibi wa Kenya mwenye umri wa miaka 80 anaefanya kazi ya kitaalamu ingawa umri umesogea sana kwake lakini sio kikwazo kwake anafanya kazi huku akitoa mfano kwa familia yake na lengo lake ni kumaliza umaskini.

Binafsi ameniencorage sana haswa sisi tunaokata tamaa mapema.

KAZI YOYOTE YA MKONO NI KUTUMIA TU AKILI NA KUWA NA ROHO SAFI.
 

Attachments

Duh..at the age of 80 anadili na mambo ya music?!! huyu club anatimba aisee.hajahaah safi sana bibi...mabibi age hizo watz wanazunguka kuomba omba tu jaman
 
Duh..at the age of 80 anadili na mambo ya music?!! huyu club anatimba aisee.hajahaah safi sana bibi...mabibi age hizo watz wanazunguka kuomba omba tu jaman
Ndio hivyo ndugu yangu, bora bibi hao wanaoomba shida ni sisi vijana tunawahi kuchoka kazi zetu mapema na kukata tamaa na kuishia kulalamika tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom