Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habari najua kwenye hill jukwaa ntapata ufumbuzi wa hili swala.... Mala kwa mala nimekua nikionana na namba zinazojirudia kwamfano 11:11, 22:22, 3:33,10:10 ,15:15 00:00 na kwendelea sasa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Al Saedy ya Iringa Dar Dereva Kwa jina Diwani konda kwa jina Ramadhani hawa madogo wanatoka Ng’apa wanakwenda shule Msimba kuna zaid ya kilometa 8 pale kati huyu dereva daily anawabeba awa madogo...
14 Reactions
50 Replies
8K Views
Wanasema kizuri kula na ndugu zako. Nimeona mstaa wengi wa bongo wakifikisha viewers Millioni moja ndani ya siku nzima, Lakini hii sasa ni kiboko. Msanii anayechipukia katika comedy Mtambo ambaye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limelazimika kutumia mabomu kuwatawanya wanafunzi wa shule ya sekondari Majengo baada ya kugoma kuingia madarasani kwa kile walichodai ni kudhalilishwa kingono...
6 Reactions
162 Replies
23K Views
Huku mtaani watu hawaelewi,hawana amani wala raha ya kuishi majumbani mwao.Kila kona michango tu.Ukigeuka huku unakutana na kitambulisho cha mheshimiwa(20,000/=),kule michango ujenzi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu. Kuna hawa watu wanaoitwa ‘Wahamiaji haramu’ nimekuwa nikiwaza kwanini mara nyingi wamekuwa wakijaribu kwenda Ulaya Magharibi tu? Kwanini hawajaribu kuenda China, Urisi na Mashariki ya mbali?
2 Reactions
61 Replies
6K Views
Wakuu wangu, Nautamaini wote mnfaurahia Juma pili njema. Leo nimekuja na habari ndogo tu tuijadili. Mara zote linapotokea tukio la ujambazi, na watu kudhurika, au la, vyombo vya ulinzi hutoa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Viongozi wengi wa chama tawala na wale wanaongoza serekali wanasema chama chao kinakubalika sana kwa WANANCHI Ukifatilia mijadala mingi inayotolewa ktk hii mitandao utagundua wachangiaji au...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wale mliopo miji ya Manila karibu na Dr Joseph park, Cavite city,Pembo,makati,San Miguel tuonane ili tubadilishane mawazo kabla ya SAA 11 jioni leo SAA za huku Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari Watalaam, Naomba mwenye kufahamu kama inawezekana nikafuta facebook nikabaki na ile messenger yake tu anielekeze. Hii imetokana na siku moja niliaibika sana baada ya kukuta page ya rafiki...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini wadau Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa utafiti nilioufanya ndani ya takribani miaka kumi kwenye maeneo tofauti tofauti niliyopita, kutembelea na baadhi vya sehemu ya watu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukiiangali rangi ya kijani ni rangi inayopendeza sana, inaonyesha uoto wa asili pamoja na mimea ya kupandwa, Nchi yetu imebarikiwa sana kuwa ya kijani. Wandugu mnaonaje color code ya vazi la taifa...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Unaweza kuyaita maajabu ya aina yake baada ya Baraza la Mitihani Taifa (Necta), kutangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018, huku shule kongwe ya Jangwani iliyopo jijini Dar es Salaam ikiwa...
1 Reactions
8 Replies
10K Views
Kwa muda sasa hasa ndani ya Wiki hii, kumekuwepo Picha inayosambazwa mitandaoni, ikiwakebehi Wahudumu wa ATCL kutokuwa na mvuto kuanzia wa sura hadi mavazi. Hata hivyo, ukweli ni kuwa, ATCL ina...
7 Reactions
227 Replies
50K Views
LOUIS CHEVROLET MBUNIFU WA MAGARI NA UTAJIRI WA MAKABURI. __________________ Francis Daudi Nilipata kusoma sehemu kwamba; Makaburi ni sehemu yenye utajiri zaidi, Kule kuna Viwanda ambavyo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanza naomba to declare interest kwamba,mimi ni mfanyakazi wa Company tajwa hapo juu kitengo cha mauzo yapata miaka saba sasa. Wakati naajiriliwa nilimkuta dada mmoja hivi anaitwa Ruqaiya...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimeangalia interview zake nyingi anaonyesha ni MTU mjuaji sana,anafikiri ye ndio anajua zaidi. Anadai mh Rais hawajahi kulaani shambulio kitu ambacho c kweli amesahau yote. Najaribu kuvaa...
12 Reactions
103 Replies
9K Views
Nahitaji kupata passport kama haki yangu ya msingi ya kiraia. Kwa shughuli hiyo nimeandaa kiasi cha laki mbili. Documents zangu ziko vizuri bila wasiwasi isipokuwa ni taarifa za wazazi, kwamba...
3 Reactions
62 Replies
8K Views
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wabunge kwenda mjengoni kazi yao ni kupiga makofi bila ya kujua kilichojadiliwa. Kuna wale huwa wakiona wenzao wanapiga makofi juu ya meza nao wanaanza kupiga. Na...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Hongereni kwa kazi nzuri ya kuwatetea wananchi wanyonge walioko mitaani ambao kupata hata 1000 kwa siku ni shida. Lakini nyie mnakaa mjengoni huku mkibuni mambo kadhaa ya kuwaongezea wananchi...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…