Tetesi: Utafaiti sehemu ya watu wenye vinywa vyeusi ni wavutaji wa sigara na bangi au wamepitia katika sehemu hizo mbili

Mzalendo39

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
577
1,000
Habarini wadau

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa utafiti nilioufanya ndani ya takribani miaka kumi kwenye maeneo tofauti tofauti niliyopita, kutembelea na baadhi vya sehemu ya watu wa aina hiyo kufanya nao kazi. Asilimia 98 ya watu niliokutana nao wanasifa nilizozieleza kwenye heading’hapo juu.

Moja,Nimeamua kulileta swala hili humu kutokana na jukwaa hili kuwa na wadau mbalimbali na wenye umri tofauti pamoja upeo mpana na mawazo yanayoweza kuthibitisha au kukosoa utafiti wangu nilioufanya kwa kupindi hicho cha miaka 10.

Pili, utafiti huu utawasaidia wazazi na jamii kwa ujumla kuwatambua watu wa namna hiyo katika familia na shughuli mbalimbali za kila siku.

Tatu, Kwenye secta ya Ajira itawasaidia kutofautisha na kuchagua mtu sahihi ambaye hata Kuwa na sifa za namna hiyo na vile vile wale wanaohitaji watu wenye sifa hizo itakuwa ni rahisi kuwatambua

Naomba kuwasilisha...
 
Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
6,631
2,000
Na wanaotoka sehemu zenye baridi wanakuwa na midomo mieusi na wanaotumia kuni pia ambao ni wengi kuliko wanaotumia sigara na bangi hapo hatujawaweka waliozaliwa na midomo mieusi..Huo tafiti kafanya zuzu...
 
  • Thanks
Reactions: cmp

Mzalendo39

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
577
1,000
Na wanaotoka sehemu zenye baridi wanakuwa na midomo mieusi na wanaotumia kuni pia ambao ni wengi kuliko wanaotumia sigara na bangi hapo hatujawaweka waliozaliwa na midomo mieusi..Huo tafiti kafanya zuzu...
Umeelezwa Ni sehemu ya watu sio
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,216
2,000
Kwa hiyo kwa kusema umefanya tafiti miaka 10 unataka tukuamini
Kwanza umeongea unayoyajua wewe tu la pili tafiti huwa hazikamilishwi hivyo
Hebu rudi tena kwenye tafiti zako hizo urudi kamili na kwa idadi kama achana na %
Sema umetafiti wapi na wapi na umeona au kuhoji watu wangapi?
Maana mimi nineona wenye midomo myeusi na hawavuti Fact
Btw hata black mamba yumo hahaha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Eng Kahigwa

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
750
1,000
Habarini wadau

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa utafiti nilioufanya ndani ya takribani miaka kumi kwenye maeneo tofauti tofauti niliyopita, kutembelea na baadhi vya sehemu ya watu wa aina hiyo kufanya nao kazi. Asilimia 98 ya watu niliokutana nao wanasifa nilizozieleza kwenye heading’hapo juu.

Moja,Nimeamua kulileta swala hili humu kutokana na jukwaa hili kuwa na wadau mbalimbali na wenye umri tofauti pamoja upeo mpana na mawazo yanayoweza kuthibitisha au kukosoa utafiti wangu nilioufanya kwa kupindi hicho cha miaka 10.

Pili, utafiti huu utawasaidia wazazi na jamii kwa ujumla kuwatambua watu wa namna hiyo katika familia na shughuli mbalimbali za kila siku.

Tatu, Kwenye secta ya Ajira itawasaidia kutofautisha na kuchagua mtu sahihi ambaye hata Kuwa na sifa za namna hiyo na vile vile wale wanaohitaji watu wenye sifa hizo itakuwa ni rahisi kuwatambua

Naomba kuwasilisha...
Mie nimezaliwa nikiwa na mdomo mweusi na sasa nina watoto wawili wote wapo hivyohivyo kama mimi.
 
Tuna

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
596
1,000
Ingekuwa na wanyama basi black mamba labda angekuwa anavuta bunda la fegi kila siku..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom