Katika hii mitandao ya kijamii hakuna watu wa CCM?

Joined
Jan 14, 2019
Posts
64
Reaction score
61
Viongozi wengi wa chama tawala na wale wanaongoza serekali wanasema chama chao kinakubalika sana kwa WANANCHI

Ukifatilia mijadala mingi inayotolewa ktk hii mitandao utagundua wachangiaji au wachokoza mada hawakisemi vizuri hiki chama cha ciciemu?

Kama mnakubalika kweli kwa wananchi je wanachi wa wapi???

Tunaweza kutupia comment mbalimbali kuthibitisha hili

Screenshot_20190210-102654.jpg
Screenshot_20190210-102623.jpg
Screenshot_20190210-102433.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba Watumiaji wengi walio kinyume na CCM huonekana kama ni Chadema.....lakini wengi ambao hupost Negatively kuhusu Ccm ni Wananchi wa kawaida ambao hawaridhishwi na hari ya Mambo yanavyokwenda!

Wakati Utawala wa 5 ukiingia ilionekana Vijana wengi wanau support kupitia Michango yao mbalimbali.....Leo tembelea Page za media kubwa kubwa hata Facebook kama Mwananchi, ITV, BBC n.k then uone michango ya Leo....watu ni kama Wamechoka hivi!
 
Miaka 3 tu kwanini watu wamekata tamaaaa??? Je tunafanya nini kutoka hapa tulipo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba Watumiaji wengi walio kinyume na CCM huonekana kama ni Chadema.....lakini wengi ambao hupost Negatively kuhusu Ccm ni Wananchi wa kawaida ambao hawaridhishwi na hari ya Mambo yanavyokwenda!

Wakati Utawala wa 5 ukiingia ilionekana Vijana wengi wanau support kupitia Michango yao mbalimbali.....Leo tembelea Page za media kubwa kubwa hata Facebook kama Mwananchi, ITV, BBC n.k then uone michango ya Leo....watu ni kama Wamechoka hivi!
Tatizo kubwa linaanzia hapa yani ukiwa upo kinyume na serikali au CCM directly unaonekana ni Chadema hili ni tatizo kubwa sana la uelewa wa Watanzania ni mdogo sana kwenye vitu vingi mfano mtu akiisema vibaya serikali mtu mwingine anakuja kusema huyu anaisema nchi vibaya, yani Watanzania wengi uelewa wao ni mdogo sana mfano mwingine watu hawawezi kutenganisha majukumu ya serikali ni kuleta maendeleo eti wanashukuru kwa kujengewa barabara wakati wananchi wanalipa kodi..
 
Kwa kuendeleza hoja yako ambayo naiunga mkono, mfano mwingine mzuri ni wewe unayedhani kodi zinajenga barabara. kodi za Tanzania huwa hazijengi barabara labda kwa kiasi kidogo sana kuanzia awamu hii.
 
Wanaoshukuru ndio hawa wajanja wajanja hawalipi Kodi, Nchi yetu watu wenye uelewa ni wachache sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuendeleza hoja yako ambayo naiunga mkono, mfano mwingine mzuri ni wewe unayedhani kodi zinajenga barabara. kodi za Tanzania huwa hazijengi barabara labda kwa kiasi kidogo sana kuanzia awamu hii.
Unaelewa nini maana ya mfano? Hata mimi naunga mkono wazo lako...
 
Tatizo kubwa linaanzia hapa yani ukiwa upo kinyume na serikali au CCM directly unaonekana ni Chadema hili ni tatizo kubwa sana la uelewa wa Watanzania ni mdogo sana kwenye vitu vingi mfano mtu akiisema vibaya serikali mtu mwingine anakuja kusema huyu anaisema nchi vibaya, yani Watanzania wengi uelewa wao ni mdogo sana mfano mwingine watu hawawezi kutenganisha majukumu ya serikali ni kuleta maendeleo eti wanashukuru kwa kujengewa barabara wakati wananchi wanalipa kodi..
Ni kweli, Ila ukiacha uelewa mdogo Viongozi wengi wanaonufaika na mfumo uliopo ndo wanaowachanganya Wananchi, na Wananchi ambao uelewa wao mdogo wanadanganyika pia.

Wananchi wengi hawaelewi kuwa Serikali kujenga Hospitals, Shule, Barabara ni wajibu wao na sio msaada.

Hata ukiangalia Sekeseke linaloendelea sasa kuhusu Lissu, ni Viongozi ndo wanasema Lissu anaichafua Nchi/Taifa, wanajua kuwa Luna utofauti wa Serikali na Nchi/Taifa, lakini wanachofanya ni ulaghai na Wananchi wasio na uelewa wanayabeba kama yalivyo.
 
Labda jiwe alikuwa na nia nzuri na Tanzania lakini move aliyochukua haikuwa sahihi. Mengi ameyafanya kwa self recognition wakati pesa ingezungushwa ndani kupatia vijana ajira, na kutafutia wakulima soko la uhakika la mazao yao.

Hivi hii elimu bure mpaka darasa la 12 baada ya hapo kuna muendelezo gani?
Kama hii sera ingekuwa na muelekeo mzuri ingeongeza ajira za walimu.

Sasa wanafunzi 100 kufundishwa na mwalimu mmoja hiyo ni lecture? Alichofanya jiwe ni bora elimu si elimu bora.
 
Unaelewa nini maana ya mfano? Hata mimi naunga mkono wazo lako...
Ninavyoelewa mfano, ni kuthibitisha hoja uliyotoa ili ieleweke zaidi. hata hivyo usisahau nimeunga mkono hoja
 
Ni kweli, Ila ukiacha uelewa mdogo Viongozi wengi wanaonufaika na mfumo uliopo ndo wanaowachanganya Wananchi, na Wananchi ambao uelewa wao mdogo wanadanganyika pia.

Wananchi wengi hawaelewi kuwa Serikali kujenga Hospitals, Shule, Barabara ni wajibu wao na sio msaada.

Hata ukiangalia Sekeseke linaloendelea sasa kuhusu Lissu, ni Viongozi ndo wanasema Lissu anaichafua Nchi/Taifa, wanajua kuwa Luna utofauti wa Serikali na Nchi/Taifa, lakini wanachofanya ni ulaghai na Wananchi wasio na uelewa wanayabeba kama yalivyo.
Mpaka watu watakapo jielewa ndo angalau tunaweza sogea tofauti na hapo tutabaki hapa hapa na ukionekana unatoa elimu hii utaitwa mpinzani, usie na shukurani, unapinga juhudi za serikali...
 
Ninavyoelewa mfano, ni kuthibitisha hoja uliyotoa ili ieleweke zaidi. hata hivyo usisahau nimeunga mkono hoja
Sijathibitisha kitu hapo nimeelezea tu uhalisia wa jambo..ndo maana anaweza akatokea mwingine akapinga
 
Viongozi wengi wa chama tawala na wale wanaongoza serekali wanasema chama chao kinakubalika sana kwa WANANCHI

Ukifatilia mijadala mingi inayotolewa ktk hii mitandao utagundua wachangiaji au wachokoza mada hawakisemi vizuri hiki chama cha ciciemu?

Kama mnakubalika kweli kwa wananchi je wanachi wa wapi???

Tunaweza kutupia comment mbalimbali kuthibitisha hili

View attachment 1018664View attachment 1018665View attachment 1018666

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unawajua wachache wa mtandaoni tena wengi wenye ID fake wengi huwajui lkn kukubalika au kutokubalika kwenye mazingira yenye upinzani ni pande mbili za sarafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom