Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa nini Makampuni yasijitokeze na kununua, kuprocess na kusambaza Korosho reja reja? Inawezekana, kuhamasisha na kuuza Korosho na watanzania wakanunua na kula Kwenye Karanga inawezekana, Je kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hawakaguagi chochote Wanawasumbua waendesha boda na bajaji na kuwadai leseni Hawakaguagi magari madogo Wakati mwingine wanafunga geti gari ikija kwa mbaali ndo wanafungua Ndo nini sasa hii...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
Kama ulikua na ratiba ya kwenda bagamoyo acha kabisa. Watoto wa shule ya msingi wamelala barabarani baada ya mwenzao mmoja kugongwa na gari na inasemekana amefariki dunia, hvyo kuanzia Bunju A...
1 Reactions
183 Replies
43K Views
Wanasheria nitoe Rai yangu kwenu. Mtusaidie kuipinga sheria hii mahakani. Mtu kukamatwa kisa kanywa pombe na anaendesha. Kitu kibaya ni kuendesha ukiwa umelewa na kupelekea kutomudu chombo ...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kamanda Mambosasa! Polisi wako anayefunga na kufungua geti hapa mabatini polisi amelewa chakali anawatukana wateja na Polisi wenzie. Je, polisi wanaruhusiwa kunywa pombe mchana tena wakiwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
1: Wanataka wakupeleke harakaharaka ili ufikiri baada ya kuwa umeshafanya maamuzi na wao wameshakula chao. 2: Akikuona mjanja anajifanya kama anaharaka au anamadili mengine, au...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Mwanzoni mwa mwezi January mwaka huu 2019, UDASA ilitangaza mgogoro na serikali kwa kile cha kutowalipa malimbikizo ya posho za nyumba (kwa wanaostahili) kwa zaidi ya miaka 5 tang 2014 pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wengi wetu tumekuwa tukilalamika kuwa nyumba zetu zimekua hazikaliki, vyumba pia vimekua havilaliki licha kua na farniture pamoja na mapambo mengi ya luxury au hata visivyo na luxury lakini...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Elfu 10 ni pesa ndogo sana ni kama 27 kwa siku kwa line1 ,kama unaline 2 iwe 20000. Na kodi hii ni kwa ajili ya matumizi ya simu, mwaka ukiisha sim card inakuwa inactive mpaka ulipe TRA au kwenye...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna Bibi hapa namuoana anaparangana usipime. Anasuka mikeka, anajilimia bustani za mboga zake, mahala pa daladala anatembea mguu, Anafuga vikuku, haombi mtu fedha Bora alale njaa. Anasaidia...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Basi linalomilikiwa na Kampuni ya Coast Line lililokuwa likitoka mkoani Katavi kuelekea jijini Arusha lilipata ajali ya kupinduka Jana maeneo ya wilaya ya Sikonge mkoani Tabora Taarifa zinasema...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari za jioni wana JF na poleni kwa majukumu! Nipo Dar natarajia kusafiri kwenda Dodoma siku ya ijumaa kikazi.Naomba mnifahamishe usafiri mzuri wa bus(luxury) na hoteli nzuri ya bei nafuu...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Taifa letu linapita katika kipindi kigumu.Kila kukicha ni migogoro ambayo inamhusisha Rais wetu Dk.John Pombe Magufuli moja kwa moja. Suala la korosho tunalichukulia kama hoja ndogo lakini...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
Kila mtu akifunga iki kifaaa itakuwa mwisho wa Wasiojulikana na pia mwisho wa watoto kuuliwa kwa iman za kishirikina. Pia itakuwa salama kwa wanaharakati kupotea na kutekwa kwa watu na kupotezwa...
0 Reactions
6 Replies
799 Views
Habari wadau Mimi natafuta machine ndogo ya Welding ila iwe ya Mtumba ila iwe mtumba wa Nje sio mtumba wa ndani, sitaki ya Dukani ,Mwenye nayo ani PM Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hali sio nzuri baada ya kuadimika kwa condom hapa nchini. Yote hii ni sababu ya misaada kukatishwa. Raia mnapaswa mjiongeze msifanye ngono kwa kipindi fulani mpaka misaada itakapoanza kuja tena...
6 Reactions
58 Replies
5K Views
Papa wa Vatican nimempongeza kwa hatua ya kushughulikia suala la ushoga ambalo limekuwa mara nyingi linaichafua sifa ya Kabisa la Petero, ni suala la kumpongeza kabisa Kwanza kuthubutu kufanya...
4 Reactions
49 Replies
7K Views
Nape juzi alikuwa ana lugha chafu kupindukia! Lakin leo anahitaji huruma ya wananchi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Leo nipo Kyela, nikaona matangazo yamejaa mji mzima, nikasema ngoja niende, duuh uozo mtupu, picha linaanza kiingilio 5000 sehemu ambayo haina kivutio chochote. Hakuna sehemu unaweza kununua...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Migingo Island covers less than half a football pitch but over 500 people live on this tiny East African fishing island. The rock island, with its poorly constructed huts, a tiny port, some...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…