Sheria ya trafiki, unywaji pombe na ulevi

Diesel generator

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
706
1,000
Wanasheria nitoe Rai yangu kwenu. Mtusaidie kuipinga sheria hii mahakani. Mtu kukamatwa kisa kanywa pombe na anaendesha. Kitu kibaya ni kuendesha ukiwa umelewa na kupelekea kutomudu chombo .

Muusishe tafiti za kisayansi na kitabibu. Hoja iwe ulevi unaanzia bombe kiasi gani? Au alcohol kiasi gani inamfanya mtu asiweze kumudu gari.

Hili suala la kunywa castle Light mbili kisha unakamatwa ulevi na matumizi ya chombo cha moto sio sawa, tunanyanyaswa wanywaji kwa kigezo cha walevi wanaopelekea kutomudu chombo.

Bia kiasi gani zinafanya ulevi. Hii abali ya kuviziwa baa tumeichoka. Tusaidieni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
6,643
2,000
Umebugi alcohol haina kiwango flani mtu akinywa analewa mwingine bia 2 chali mwingine kreti nzima chali.Duniani kote haulusiwi kuendesha gari umekunywa..
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
12,386
2,000
Wanasheria nitoe Rai yangu kwenu. Mtusaidie kuipinga sheria hii mahakani. Mtu kukamatwa kisa kanywa pombe na anaendesha. Kitu kibaya ni kuendesha ukiwa umelewa na kupelekea kutomudu chombo . Muusishe tafiti za kisayansi na kitabibu. Hoja iwe ulevi unaanzia bombe kiasi gani? Au alcohol kiasi gani inamfanya mtu asiweze kumudu gari. Hili swala la kunywa castle Light mbili kisha unakamatwa ulevi na matumizi ya chombo cha moto sio sawa, tunanyanyaswa wanywaji kwa kigezo cha walevi wanaopelekea kutomudu chombo. Bia kiasi gani zinafanya ulevi. Hii abali ya kuviziwa baa tumeichoka. Tusaidieni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria inataja ni alcohol content ngapi ni prohibited mkuu, siyo holela tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
6,821
2,000
Barabarani manyanyaso na polisi trafiki maimuna ni mengi mno. Wasichojua ni kuwa wanaongeza idadi ya waichukiao hiyo taasisi wanayodhani wao wanaitumikia.

Unakuta sehemu haina spidi limit wao wameji binafsisha:

Makazi ya watu, ooh zebra, ooh alama za watoto wa shule nk.

Si wekeni vibao vyenye mwendo husika tuviheshimu?

Hawa jamaa ni bure kabisa na ndiyo maana mkuu wao kaambiwa ajitathmini sijui kamaliza au angali akiendelea na hilo zoezi.
 
wildfish

JF-Expert Member
May 28, 2014
949
1,000
Barabarani manyanyaso na polisi trafiki maimuna ni mengi mno. Wasichojua ni kuwa wanaongeza idadi ya waichukiao hiyo taasisi wanayodhani wao wanaitumikia.

Unakuta sehemu haina spidi limit wao wameji binafsisha:

Makazi ya watu, ooh zebra, ooh alama za watoto wa shule nk.

Si wekeni vibao vyenye mwendo husika tuviheshimu?

Hawa jamaa ni bure kabisa na ndiyo maana mkuu wao kaambiwa ajitathmini sijui kamaliza au angalia akiendelea na hilo zoezi.
Kama sheria za barabarani zinakukera nenda kaishi sayari ya Mars huko unaruhusiwa kuendesha gari yako unavyo penda bila kubughudhiwa na mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
6,821
2,000
Kama sheria za barabarani zinakukera nenda kaishi sayari ya Mars huko unaruhusiwa kuendesha gari yako unavyo penda bila kubughudhiwa na mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ni wale mamba? Bandiko langu limekugusa eeh? Pole sana.

Tunawafamu kwa majina, tunawafamu mnafanya nini hata vichaka gani mnavitumia tunajua.

Take it from me, siku zenu ziko numbered subiri ile tume ya Kangi, contributions zetu mtazisikia huko. Mtanyooka tu, mmeonea watu vya kutosha. Wala hatutaenda sayari nyingine labda nyie mwende huko.

Loo! Mwadiriki wenyewe kujiita mamba wala watu? Shame on you.
 
mzee74

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
10,493
2,000
Wanasheria nitoe Rai yangu kwenu. Mtusaidie kuipinga sheria hii mahakani. Mtu kukamatwa kisa kanywa pombe na anaendesha. Kitu kibaya ni kuendesha ukiwa umelewa na kupelekea kutomudu chombo . Muusishe tafiti za kisayansi na kitabibu. Hoja iwe ulevi unaanzia bombe kiasi gani? Au alcohol kiasi gani inamfanya mtu asiweze kumudu gari. Hili swala la kunywa castle Light mbili kisha unakamatwa ulevi na matumizi ya chombo cha moto sio sawa, tunanyanyaswa wanywaji kwa kigezo cha walevi wanaopelekea kutomudu chombo. Bia kiasi gani zinafanya ulevi. Hii abali ya kuviziwa baa tumeichoka. Tusaidieni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kero! Walinilaza central sababu ya kunywa bia tatu!
 
Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
9,257
2,000
Wanasheria nitoe Rai yangu kwenu. Mtusaidie kuipinga sheria hii mahakani. Mtu kukamatwa kisa kanywa pombe na anaendesha. Kitu kibaya ni kuendesha ukiwa umelewa na kupelekea kutomudu chombo .

Muusishe tafiti za kisayansi na kitabibu. Hoja iwe ulevi unaanzia bombe kiasi gani? Au alcohol kiasi gani inamfanya mtu asiweze kumudu gari.

Hili suala la kunywa castle Light mbili kisha unakamatwa ulevi na matumizi ya chombo cha moto sio sawa, tunanyanyaswa wanywaji kwa kigezo cha walevi wanaopelekea kutomudu chombo.

Bia kiasi gani zinafanya ulevi. Hii abali ya kuviziwa baa tumeichoka. Tusaidieni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, polisi hapaswi kukuimia macho au pua yake kusikia harufu. KOsa la kuewa na kuendesha linatakiwa ushahidi wa "breatlyser test" au kupimwa damu ili kuona damu yako ina kiwango gani cha pombe. Na kuna kiwango cha pombe katika damu ambacho sio kosa kuendesha gari.

Kwa hiyo wakikupeleka mahakamani kwa hilo kosa lazima waseme ulikuwa juu kiasi gani kwa kiwango kinachoruhusiwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom