Kwanini wanandoa wengi hawafurahi tena tendo la ndoa!?⁣ ⁣

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
1,165
2,000
Ukibahatika kuwasikiliza wanandoa wengi watakueleza kwamba mwanzo wa uchumba wao na hata mwanzo wa ndoa mambo yalikuwa bumbum. Walikuwa wanalicheza sebene kisawa sawa. Lakini baada ya kuingia kwenye ndoa mmoja au wote wawili hawafurahii tena tendo la ndoa.⁣

Kwa mwanaume inakuwa inama nikulenge, na kwa mwanamke inakuwa nawahi kuandaa mtoto kwenda shule. Mvuto hakuna tena. Mvuto umepotea. Mapenzi yamebaki kama routine tu sio kufurahishana kama ilivyokuwa hapo awali.⁣

Ni wachache sana wanaweza kujua tatizo liko wapi. Wengi wataishia kuchepuka na kutafuta watu wengine wa nje ambao watafurahia tena tendo. Nina mifano mingi.

Mfano mmoja ni mwanamke aliyekuwa analalamika kwamba akikutana na mmewe anakuwa mkavu sana na hafurahii tena tendo anaumia tu. Lakini baada ya kumpa elimu yule mwanamke alijikuta kumbe anweza kumwaga maji kama chemchemu anapofikia kileleni. Maisha yake yamebadilika. Anafuraha tena.⁣

Nini huwa kinatokea mpaka wana ndoa kukupoteza tena mvuto na kukosa hamu ya mapenzi. Jibu liko wazi. Lakini kabla sijakupa jibu najua wewe unayesoma hii post sasa hivi una mchepuko.

Hebu angalia chati za mchepuko wako, kisha zifaninishe na za mkeo. Umeona tofauti. Umeiona tofauti. Umeona tofauti ya maneno unayotumia kwa mchepuko wako. Umeona tofauti ya picha na video mnazotumiana na mchepuko. Umeiona?⁣

Kitu ambacho hukijua ni kwamba ubongo ni kiungo muhimu katika mapenzi. Ubongo ni kiungo muhimu pengine kuzidi viungo vya uzazi vyenyewe. Ubongo ni kiungo cha kwanza kusisimka katika mapenzi. Ubongo ukisisimka ndio maziwa na viungo vingine vinasisimka pia.⁣

Na ubongo hausisimki kwa kuona viungo au mwili pekee. Maneno. Maneno machafu ndio huamsha na kusisimua zaidi ubongo. Maneno mnayoongea kabla au wakati wa tendo ni muhimu sana katika kunogesha mapenzi. ⁣

Zamani mlizoea kutumiana maeno machafu ambao ndio mnafanya kwa michepuko yenu, lakini mkiingiwa kwenye ndoa mnakuwa watawa. Hamuambiani tena maneno yale makali makali yenye kuhamsha hisia. Mapenzi yanakosa mvuto. Inakuwa routine tu. ⁣

Nafikiri umewahi kusikia mwanamke anamsifia mwanaume kwamba jamani kuna watu wana maneno matamu jamani. Sio kwamba huyo mwanaume aliongea maneno spesho kihivyo bali alitumia maneno machafu ambayo ndio huamsha ubongo. ⁣

Nawasihi tena, ndugu zangu huna sababu ya kuchepuka. Mkeo au mmeo unaweza kumfanya mchepuko. Anza leo, rudia yale maneno mliyokuwa mnatumia wakati mkiwa wachumba. Tumia maneno unayotumia kwa mchepuko wako. Utaona mabadiliko. Kwenye mapenzi hakuna utawa. ⁣

Be dirty. Utaona mabadiliko. Utafurahia gemu kama zamani. Kama huamini shauri yako, wenzio watamchatisha ujinga mkeo au mmeo utapigiwa. ⁣

Nawakilisha kwa unyenyekevu mkuu.⁣
Ni wenu katika kudumisha mahusiano na kupunguza michepuko .

Papa Mobimba
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
14,685
2,000
Watuache tulio kwenye ndoa jamani.

Ndoa tamu jamani.

Wewe ukihisi yako inaanza kubadilika na wewe badilika nayo. Huwezi kuendelea kuendesha bike same way unavyo endesha kwenye highway. Unapelekana na curves na una maneuver zinavyokwenda.

Kwenye sex unabadilisha na tempo. Kuna siku ya ku relax kuna siku ya kupelekana mchaka mchaka.

The older you get, the quality increases even as quantity decreases. Nothing stays the same, achia mbali sex.
 
dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
6,516
2,000
Asante. Sio vibaya kuwakumbusha wengine
kwa akili yako unazani kuchepuka wanapenda au inatokea tu;
kwenye uchumba mapenzi ni matamu kwasababu mnaonana Mara moja moja, pili kwenye uchumba k inakuwa bado taiti , sasa mkeo akizaa kichwa cha mtoto kikipita ile sehemu inachukua mda kurudia hali yake, halafu wakianza kutumia uzazi Wa mpango ndiyo unaenda kuharibu kabisa!
sasa hapo unategemea kama Mme atafanyeje?
NDIYO MAANA NIKAKUULIZA UNA UMRI GANI?
Mwanaume kila siku anazalisha mbegu millions halafu asubilie mwanamke mmoja azae,hadi apone huyo si atakuwa kalogwa.?
 
Katika ya ulichoogea hakina uhusiano na kuchepuka. Size ya brain optic chiasma na limbic system ni tofauti kati ya mwanaume na mwanamke. Zinamchango mkubwa kwenye sana kwenye mapenzi. Nafikiri una point unazimiss... bora ukae tukueleweshe..
 
Uzazi wa mpango unawaweka wanawake wengi free kufanya mapenzi kwa uhuru.. kama hujui hofu ya kupata mimba pia humfanya mwanamke kukosa uhuru
 
Papa Mobimba

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
1,165
2,000
Watuache tulio kwenye ndoa jamani.

Ndoa tamu jamani.

Wewe ukihisi yako inaanza kubadilika na wewe badilika nayo. Huwezi kuendelea kuendesha bike same way unavyo endesha kwenye highway. Unapelekana na curves na una maneuver zinavyokwenda.

Kwenye sex unabadilisha na tempo. Kuna siku ya ku relax kuna siku ya kupelekana mchaka mchaka.

The older you get, the quality increases even as quantity decreases. Nothing stays the same, achia mbali sex.
Nakubariana na wewe kabisa....
 
dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
6,516
2,000
Katika ya ulichoogea hakina uhusiano na kuchepuka. Size ya brain optic chiasma na limbic system ni tofauti kati ya mwanaume na mwanamke. Zinamchango mkubwa kwenye sana kwenye mapenzi. Nafikiri una point unazimiss... bora ukae tukueleweshe..
Hujui chochote kaa kimya!
Mtu mzima yeyote anaelewa! Mwanaume hata akomae vipi kuchepuka atachepuka!
hivi hujiulizi hata wanyama unaona beberu moja linamajike manne? hata kuku hamfugi nyumbani kwenu ukajifunza jogoo linavyotafuna matetea?
kama hujui soma kisa cha mfalme SULEMAN alikuwa na wake 700 na mahawara 300,
mtazame Ibrahim alivyokuwa!

NDIYO MAANA NILIKUULIZA UNA UMRI GANI?
 
UPOPO

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
2,760
2,000
Shida wanaume wanaojielewa wachache siku hizi ni kujitunisha kwenye mitandaonj ya KIJAMII the same kwa wa awake. Wanaume wa ukweli alite busy kutafuta hela kwa bidii sa ngapi anawaza vitu vya kufurahishwa na kutokufurahisha. Wanaume muwe serious muone kama ndoa sio peponi
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
6,473
2,000
Bado wanavyuo, wasomi wa elimu yoyote duniani wanaendelea kujifunza kwa nini Shule hii ya NDOA unapewa cheti ukiwa ndiyo kwanza unaingia darasani?

Hapo ndipo ninapoweka nadhalia pevuka kuwa HAKUNA shule ya NDOA iliyowahi kutoa elimu kwa mwingine na ikaApply 100% perfectly.
 
Kuna mambo mengi sana yana influence ndoa, kuanzia hulka za wanandoa, culture zao, family upbringing, marafiki, kazi nk nk..
 
dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
6,516
2,000
Shida wanaume wanaojielewa wachache siku hizi ni kujitunisha kwenye mitandaonj ya KIJAMII the same kwa wa awake. Wanaume wa ukweli alite busy kutafuta hela kwa bidii sa ngapi anawaza vitu vya kufurahishwa na kutokufurahisha. Wanaume muwe serious muone kama ndoa sio peponi
unajidanganya sana! tena waliobusy ndiyo Malaya kutupwa wananunua! makahaba wanaojiuza ni kwa ajili ya watu walio busy! yaani akitaka ananunua mchezo unaisha!
kwa wale wasio busy wanakomaa na mapenzi ya kumbikumbi ili angalau wale vya Bure Bure
 
Papa Mobimba

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
1,165
2,000
Shida wanaume wanaojielewa wachache siku hizi ni kujitunisha kwenye mitandaonj ya KIJAMII the same kwa wa awake. Wanaume wa ukweli alite busy kutafuta hela kwa bidii sa ngapi anawaza vitu vya kufurahishwa na kutokufurahisha. Wanaume muwe serious muone kama ndoa sio peponi
Unaamanisha nini kujielewa.. kuna mtu aliwahi kuwa na hekima kama mfalme Suleiman?
 
Papa Mobimba

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
1,165
2,000
Sijasema kwamba wsichepuke, nadharia yangu inazungumzia kukosa furaha kwenye tendo la ndoa
Hujui chochote kaa kimya!
Mtu mzima yeyote anaelewa! Mwanaume hata akomae vipi kuchepuka atachepuka!
hivi hujiulizi hata wanyama unaona beberu moja linamajike manne? hata kuku hamfugi nyumbani kwenu ukajifunza jogoo linavyotafuna matetea?
kama hujui soma kisa cha mfalme SULEMAN alikuwa na wake 700 na mahawara 300,
mtazame Ibrahim alivyokuwa!

NDIYO MAANA NILIKUULIZA UNA UMRI GANI?
 
Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
13,894
2,000
Tunaofurahia mapenzi katika ndoa kama tulipokua wapenzi tunakoment wapi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom